EPL

Home Ligi EPL Page 4

BAADA YA USHINDI DHIDI YA CITY, HIZI NI MECHI ZITAKAZOIPA LEICESTER UBINGWA WA EPL...

Leicester City wanazidi kujikita kileleni mwa ligi kuu England baada ya leo kuwatungua vigogo wa EPL Man City kwa mabao 3-1. Licha ya kuwa hawapewi...

MAHREZ AWEKA REKODI MPYA ENGLAND

Riyad Mahrez amekuwa mchezaji wa kwanza katika Ligi Kuu nchini England kufikisha pasi za magoli zaidi ya kumi na magoli zaidi ya 10 'double figures'...

LEICESTER YAIKALISHA MAN CITY, SALAMU ZIWAFIKIE ARSENAL

Vinara wa EPL Leicester City wametoa tena dozi ya kutosha walipokutana na Manchester City na kuibuka na ushindi wa maana wa bao 3-1kwenye dimba...

HAZARD AAMUA KUWA MUUNGWANA KWA MOURINHO

Eden Hazard amekiri kwamba alituma ujumbe wa kuomba msamaha na kumpa pole Mourinho baadaya kufukuzwa kunako klabu ya Chelsea mwezi Desemba mwaka jana. Kwa mujibu...

PEREIRA ZAIDI YA MATA?,VANA GAAL ANAFUNGUKA UKWELI WOTE HAPA

Louis van Gaal amemwambia Juan Mata kuonyesha uwezo wake kama kweli anahitaji namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza ili asije kujikuta anawekwa bechi...

JOSE MOURINHO VS PEP GUARDIOLA PART 2

Na Peter Mabere Baada ya taarifa kutoka wiki iliyopita kupitia mitandao mbalimbali ya habari Duniani kote kuwa Kocha wa zamani wa FC Barcelona Pep Guardiola...

MAN CITY VS LEICESTER NI VITA YA UBINGWA EPL, ANGALIA REKODI NA DONDOO MUHIMU

Manchester City leo wapo nyumbani wakiwakaribisha vinara wa Ligi Leicester City, ikiwa ni fursa pekee kwao kwenda kileleni endapo wataibuka na ushindi katika mchezo...

STORY NYINGINE KUHUSU MOURINHO KUTUA OLD TRAFFORD

Habari kuhusiana na Jose Mourinho kujiunga na Manchester United zimeibuka tena wiki hii ambapo baadhi ya vyombo vya habari vya Ureno na Hispania vimekuwa...

HERRERA AMPIGIA SALUTI MOURINHO, ATAMANI KUFANYA NAYE KAZI OLD TRAFFORD

Katika hali inayoonesha huenda kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho kukaribia kujiunga na klabuya Manchester United, kiungo mchezeshaji waklabu ya Manchester United Mhispaniola...

HERRERA ATAJA KLABU AMBAZO ANATAKA KUCHEZA ATAKAPOONDOKA MANCHESTER UNITED

Ander Herrera ameweka wazi kuwa siku moja angependa kuja kuichezea klabu ya Boca Juniors wakati atakapoachana na klabu ya Manchester United. Herrera ameongeza kuwa kabla ya kwenda...

BEKI WA ARSENAL ABAINI SILAHA KUU YA SPURS KUFNYA VIZURI MSIMU HUU

  Mlinzi hodari wa zamani wa Arsenal Martin Keown anasema anatarajia kwenda kwa mara ya kwanza kwenye uwanja wa White Hart Lane, maskani kwa Tottenham Hotspurs tangu...

PEP GUARDIOLA YUPO CITY KWENYE MBUYU WAKE

Na Athumani Adam Ni hulka ya binadamu kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwenye maisha. Ndiyo kitu ambacho kimetokea kwa kocha mkuu wa Bayern Munich...

WENGER ASALIMU AMRI

Kocha wa Arsenal Mfaransa Arsene Wenger amekubali kuwa klabu yake ipo katika wakati mgumu katika mbio za kunyakua ubingwa wa England. Kwa mujibu wa mahojiano...

HUYU NDIYE STAR MWINGINE ANAYEONDOKA CHELSEA

Inaelezwa kuwa huenda mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa akaondoka mwishoni mwa msimu huu kuelekea Atletico Madrid mara baada ya klabu hiyo ya nchini Hispania, ...

TOP 8 YA MATUKIO AMBAYO COSTA ALISTAHILI RED CARD LAKINI HAKUPEWA

Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa amekuwa ni kama mchezaji mwenye bahati ya aina yake kutokana na kufanya matukio makubwa ya utovu wa nidhamu uwanjani...

TETESI: MOURINHO AKARIBIA KUWA MENEJA WA MANCHESTER UNITED

Kuna taarifa zilizozagaa leo katika vyombo vya habari barani Ulaya kuwa kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho anakaribia kukubali na kusaini mkataba wa...

SABABU ZINAZOINYIMA ARSENAL UBINGWA MSIMU HUU

Arsenal ni moja ya Klabu zinazopewa nafasi kubwa ya kuinyakuwa ndoo ya EPL msimu huu japokuwa kiwango cha hivi karibuni kinatia mashaka kama klabu...

KAMA HUKUONA GOLI TAMU LA VARDY LICHEKI HAPA KUPITIA DAUDA TV

Jana usiku yalifungwa magoli mawili ya hatari sana kwenye Premier League, goli la pili la Manchester United lililofungwa na Anthony Martial pamoja na lile...

SABABU YA GIGGS KUTOKUWEPO UWANJANI, MAN UTD vs STOKE YAJULIKANA

Ryan Giggs jana alishindwa kushuhudia ushindi wa timu yake wa bao 3-0 dhidi ya Stoke City katiks uwanja wa nyumbani wa Manchester United, Old...

MESSI, NEYMAR, SUAREZ, WAANZA KUMNYIMA USINGIZI WENGER

Kuelekea katika mchezo dhidi ya Barcelona, Wenger amesema: "Ni vigumu sana kushindana nao hasa ukizingatia uwepo wa washambuliaji wao watatu machachari (Messi, Neymar na Suarez),...
471,192FansLike
1,420,891FollowersFollow
65,997FollowersFollow

Instagram