Friday, September 21, 2018

EPL

Home Ligi EPL

Hazard na Jorginho wazidi kung’ara, Rooney kuweka rekodi

24 - Wilfried Zaha ndiye mfungaji bora wa muda wote wa Crystal Palace kwenye michuano ya ligi kuu. Mpaka sasa ana mabao 24, huku...

Tottenham Hotspur wanaweza amua hatima ya Mourinho, lakini United wanachekelea rekodi hizi

Leo kuna Ndondo Cup Awards pale Clouds, mimi nitakuwepo. Na nina uhakika nitaangalia mechi ya United na Spurs kwenye laptop yangu kwa kuwa ninayo...

Man United dhidi ya Spurs mtoto hatumwi dukani

Manchester United wanawakaribisha Tottenham Hotspur Vikosi vinavyotarajia kuanza Manchester United (3-4-1-2): De Gea; Bailly, Smalling, Lindelof; Valencia, Matic, Pogba, Shaw; Lingard; Lukaku, Sanchez Tottenham (3-3-2-2): Vorm; Alderweireld,...

Tamko la kuhusu uhamisho wa Hazard

Dirisha kubwa la usajili nchini Uingereza limeshafungwa tayari. Lilifungwa toka tarehe 9-Agosti lakini klabu zote nchini humo zinaruhusiwa kuuza na sio kusajili. Lakini kwa...

Fununu: Ndoa ya Mourinho na Man United matatani

Bado kuna fununu zinazidi kuzagaa na kusambaa kwamba klabu ya Manchester united inaweza kuachana na kocha wake wa sasa, Jose Mourinho ambaye amekuwa akiwaalamikia...

London Derby, rekodi zinaibeba Gunners kuipiga West Ham Jumamosi hii

Dstv kama kawaida moto hauzimi wikiendi hii ambapo watakuletea moja kwa moja michezo yote ya ligi kuu nchini Uingereza EPL, moja ya mechi ambazo...

Pata yaliyojiri mkutano wa Chelsea kuelekea mchezo wao dhidi ya Newcastle

Kocha wa Chelsea, Maurizio Sarri amefanya mkutano na waandishi wa habari mchana wa leo kuelekea kwenye mchezo wa ligi kuu Uingereza wakati Chelsea itakaposafiri...

Mourinho akiona kunguru wamepungua mtaani, nyama za kuku ni nyingi na zimeshuka bei awe...

Bila shaka hakuna tena haja ya kumuongelea Mourinho kwa namna nyingine zaidi ya kusema "Ele precisa descansar" (Kireno) Yaani anahitaji kupumzika kidogo. Arudi tena...

Pochettino atokwa na povu kuhusu United, kila mtu apambane na hali yake

Pochettino alimpanga muasi wa mkataba Toby Alderweireld kwenye kikosi kilichopata ushindi wa 3-1 dhidi ya Fulham. Toblby anakimbia mihogo baada...

Man United kujaribu kupata ushindi wa kwanza kwa Brighton baada ya miaka 76

Ligi kuu nchi Uingereza EPL inaendelea hii leo kwa michezo mitatu kupigwa, lakini mechi mbili zinaonekana kuvuta hisia za mashabiki wengi wa soka. Manchester United...

STORY KUBWA