Thursday, September 20, 2018

EPL

Home Ligi EPL

Baada ya kuifikia rekodi ya Henry – hii ndio idadi ya magoli anayohitaji Rooney...

WAYNE ROONEY kwa mara nyingine ameendelea kuliandika jina lake kwenye vitabu vya historia ya soka baada ya usiku wa kuamkia leo kufunga goli katika...

Mambo 7 ya kutazamia wikiendi hii ndani ya EPL, Mourinho kwenye mtihani

  Premier League kesho kipute kinaendelea tena. 1) Iheanacho anatarajia kuwashangaza Liverpool Licha ya kutokuruhusu bao lolote au kupoteza alama hata moja Liverpool wikiendi hii watakuwa na...

MASHABIKI WA LEICESTER WAPIGA ‘TUNGI’ BURE, LEICESTER CITY IKIIBANA MAN CITY

Mashabiki wa klabu ya soka ya Leicester City ya nchini England jana usiku walikunywa beer za bure kama shukrani kutoka kwa wamiliki ya namna...

Warithi wa Wenger hawa hapa

Massimillano Allegri Kwa sasa yupo klabuni Juventus akipigana vikumbo na klyabu ya Napoli katika harakati za kutwaa ubingwa wua Series A. Ni kocha mwenye mafaniukio...

TOTTENHAM YAVUNJA UTAWALA WA MAN UNITED WHITE HART LANE (Video)

Tottenham wameendelea kuifukuzia ndoo ya Premier League baada ya kuibuka na ushindi mzito dhidi ya Manchester United. Kufatia Leicester kutoa kichapo kwa Sunderland mapema leo,...

TOP 8 YA MATUKIO AMBAYO COSTA ALISTAHILI RED CARD LAKINI HAKUPEWA

Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa amekuwa ni kama mchezaji mwenye bahati ya aina yake kutokana na kufanya matukio makubwa ya utovu wa nidhamu uwanjani...

ROY KEANE AMPONDA WENGER NA ARSENAL YAKE

Roy Keane amedai kwamba Arsene Wenger ana kundi kubwa la wachezaji ambao wengi wao ni dhaifu na kuwashutumu wachezaji wa Arsenal kuwadanganya mashabiki wao. Arsenal...

DILI LA MKATABA WA DE GEA NA MADRID LAVUJA

David De Gea angekuwa akilipwa yuro milioni 11.8 kwa mwaka (paundi milioni 9.1) kwa mwaka endapo angehamia klabu ya Real Madrid, hii ni kutokana na...

FAHAMU MAMBO 4 MUHIMU KUELEKEA ARSENAL VS WATFORD

4. Head to Head Arsenal wameshinda mechi nne kati ya tano walizowahi kukutana kwenye michezo iliyopita ya michuano ya FA Cup dhidi ya Watford pamoja...

KOCHA WA TIMU YA EPL AWA SHABIKI WA LEICESTER CITY (Video)

Tony Pulis ametoa kali ya mwaka kwenye mkutano na waandishi wa habari baada ya West Brom ku-draw 2-2 dhidi ya Leicester City kwenye mchezo...

STORY KUBWA