Sunday, September 23, 2018

EPL

Home Ligi EPL

Picha za Arsenal wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho kabla ya kucheza na Barcelona.

Kikosi kizima cha Arsenal kimeshafika Hispania na leo hii wamefanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mechi yao ya kesho dhidi ya Barcelona. Mechi ya...

TOP 10 YA WAAFRIKA WALIOTAMBA ZAIDI KATIKA LIGI KUU YA ENGLAND

Alexander Song Ameichezea Arsenal kwa sasa ni mchezaji wa Fc Barcelona Taifa- Cameroon John Obi Mikel Anaichezea Chelsea Taifa- Nigeria Emmanuel Adebayor Ameichezea Arsenal, Manchester City, Tottenham Hot...

HIDDINK AVUNJA REKODI ILIYODUMU KWA MIAKA 21 EPL

Guus Hiddink ameweka rekodi mpyandani ya Premier League kufuatia sare iliyopata timu yake ya kufungana bao 1-1 na Stoke City siku ya Jumamosi. Bertrand Traore...

Baada ya matokeo mabovu ya Arsenal na Spurs: Huenda Leceister akawa bingwa EPL

Baada ya mechi za jana usiku za ligi kuu ya England, hatimaye zimebaki takribani mechi 10 kabla ligi hiyo kumalizika, na hali inaonyesha inazidi...

MANCHESTER UNITED VS ARSENAL: MAMBO 4 MAKUBWA UNAYOPASWA KUYAFAHAMU KABLA YA MCHEZO

4. Taarifa za majeruhi   Manchester United:  Kuna idadi ya wachezaji wa kadhaa wa United ambao wako kwenye orodha ya majeruhi, lakini kuna mashaka kama...

Divock Origi wa Liverpool Awazungumzia Alikiba na Diamond – Amtaja anayemkubali kati yao

Hivi karibuni kiungo wa kimataifa wa Kenya anayekipiga katika klabu ya Southampton Victor Wanyama alimtaja mwanamuziki wa kizazi Alikiba kwamba ndio muimbaji anyemkubali zaidi...

HIKI NDICHO ALICHOFANYA MESSI BAADA YA KUVUNJA REKODI YA CECH (Video)

Leo Messi hatimaye alifuta ukame wa magoli dhidi ya Petr Cech siku ya Jumanne usiku, mu-Argentina huyo alikuwa hajafunga goli lolote dhidi ya golikipa...

RATIBA YA EUROPA LEAGUE HADHARANI, MAN UNITED, LIVERPOOL, USO KWA USO

Draw ya michuano ya Europa League raundi ya 16 bora imetoka ambao miamba ya ligi ya England Liverpool na Manchester United watakutana kwenye mchezo...

Marcus Rashford: Shujaa Mpya Old Trafford Aliyevunja Rekodi ya George Best

Marcus Rashford alikuwa shujaa ambaye hakutabiriwa usiku wa Alhamisi dhidi ya FC Midtjylland, akifunga magoli mawili katika mechi yake ya kwanza ya kikosi cha...

USHINDI WA MAN CITY UNAVITU 4 VYA KUJIFUNZA KUTOKA KWA PELLEGRINI

Manchester City imesheweka mguu mmoja ndani ya robo fainali ya Champions League kutokana na ushindi wa bao 3-1 walioupata ugenini dhidi ya Dynamo Kiev...

STORY KUBWA