Wednesday, July 18, 2018

EPL

Home Ligi EPL

Mwacheni Pogba kama alivyo

Na Priva ABIUD Hali ya Man United ni ngumu sana. Maisha yamewabadilikia sana. Jana nilibahatika kuongea na mzee mmoja wa miaka kama 70 hivi. Nikamuuliza...

“Nimeinunia Manchester United”-Haji Manara

Nani asiyejua kama afisa habari wa Simba Haji Manara ni Manchester United lia-lia? Kama ulikuwa hujui basi chukua hiyo kwamba Manara ni shabiki wa...

Sanchez anajilipa mshahara Old Trafford

Unaweza kusema mchezaji wa Manchester United Alexis Sanchez anajilipa mwenye mshahara pale Old Trafford kutokana na mkwanja ambao anaiingizia klabu hiyo kupitia vyanzo mbalimbali...

Real Madrid walivyoisaidia Man United kiuchumi na kumtoa kwa mkopo Di Stefano baada ya...

Ukiiondoa Barcelona, hakuna klabu nyingine ambayo ina upinzani na Real Madrid katika kila sekta ya soka la kisasa kama Manchester United, kutoka kwenye soka...

Vinara wanaofukuzia nafasi ya Antonio Conte hawa hapa

Kipigo cha bao 4 kwa 1 kutoka kwa Chelsea hakika kimewaweka Chelsea katika wakati mgumu haswa kocha wao Antonio Conte, kama Conte ataondolewa Chelsea...

Mo Salah awapiga bao Manchester United na Chelsea

Kwa sasa zungumzia mastriker hatari zaidi nchini Uingereza na duniani huwezi kuacha jina la mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri Mohamed...

Pogba na mbinu mbovu za Mourinho zilivyoisadia Spurs

Manchester United wana tatizo juu ya Paul Pogba. Ni mchezaji muhimu ambaye bila uwepo wake ni shida, lakini pia anayefanya maisha kuwa magumu kwa...

Usiyoyajua kuhusu ‘mnyama’ Pierre-Emerick Aubameyang

Haya ni baadhi ya mambo ambayo huenda huyajui kuhusu Pierre-Emerick Aubameyang, katika maisha mtoto hufuata matarajio ya wazazi na wazazi husaidia kwa kila hali...

Real Madrid zilipendwa kwenye soka la usajili….. Mabadiliko ya sera au ubahili kama Wenger

Rekodi za usajili zimevunjwa kwa mara kadhaa katika dirisha la usajili la kiangazi, lakini Real Madrid hawajaonyesha mshipa wa misuli ya utajiri wao kama...

Ubovu wa City uliwapa United RVP, ubovu wa United unawapa City Alexis Sanchez

Mwaka 2012 kocha wa Manchester City Roberto Mancini alitajwa kama kocha aliye kwenye nafasi kubwa kumchukua Robin Van Persie, lakini katika hali isiyoeleweka RVP...

STORY KUBWA