Thursday, September 20, 2018

EPL

Home Ligi EPL

RANIERI ANAIFUKUZIA REKODI ILIYOWEKWA NA MAKOCHA 7 TANGU 1992

Premier League inatazamwa kama ligi bora ya ndani kama siyo duniani, inajumuisha vilabu vyenye mashabiki wengi kwenye sayari hii. Vilabu kama Manchester United, Chelsea,...

Je Van Gaal ataumaliza msimu vizuri? Aiongoza United kushinda mechi ya 4 mfululizo 

Mapema wiki iliyopita hakuna shabiki wa ambaye alikuwa anaamini timu yake ingeweza kupata matokeo chanya katika mechi 4 zilikuwa zinafuatana mfululizo za michuano tofauti,...

Kwanini Naamini Usajili wa Ronaldo Man United Sio Sahihi

Wakati fulani msimu uliopita katika tukio la hisani, Kocha wa Manchester United Louis van Gaal alipewa listi ya wachezaji ambao kijana mmoja shabiki wa...

Hii ndiyo full list ya wachezaji wa Leicester City na mishahara yao

Club bora kwa sasa kwenye EPL ambayo kila mtu anatamani club yake ingekua na perfomance hiyo ni Leicester City. Sasa club hii ni kwamba...

Mourihno kwenda Manchester United kila kitu tayari limebaki hili tu.

Habari za ndani kutoka kwenye vyombo vya habari vya Uingereza wanasema kwamba makubaliano ya Mourihno kwenda Manchester United tayari yameshafanyika. Habari hii inaunganishwa na...

Baada ya kufukuzwa kazi Steve McClaren aenda kupoza maumivu.

Kocha Steve McClaren baada ya kufukuzwa kazi na club ya Newcastle amesafiri hadi Caribbean na mke wake kwa ajili ya kupoza maumivu. McClaren alifukuzwa kazi...

MAJIBU YA LUKAKU KUHUSU KUCHEZA CHINI YA MOURINHO

Romelu Lukaku amesema hana tatizo lolote ikiwa atapata nafasi nyingine ya kuwa chini ya kocha ya Jose Mourinho ambaye hapo awali walikuwa wote kunako...

FLAMINI APATA SHAVU LINGINE EPL BAADA YA KUACHWA ARSENAL

Crystal Palace wamethibisha kukamilisha dili la kumsajili kiungo wa Arsenal Mathieu Flamini kwa uhamisho huru. Flamini (32), amekuwa mchezaji huru tangu alipoachwa na Arsenal katika...

Emmanuel Eboue amefukuzwa Sunderland baada ya siku 22.

Beki wa zamani wa Arsenal amekaa kwa muda wa siku 22 tu kwenye club yake ya Sunderland na kufukuzwa kazi. Eboue ali sign mkataba...

FIRMINO APIGA MBILI LIVERPOOL IKIIDIDIMIZA LEICESTER 4-1

Liverpool wamefanya kile kinachoitwa kufuru dhidi ya Mabingwa Watetezi wa Ligi ya England Leicester City baada ya kushinda mabao 4-1. Mabao ya Liverpool yalifungwa na...

STORY KUBWA