Saturday, May 26, 2018

EPL

Home Ligi EPL

Hughes na Watakatifu wa Liverpool wanaobipu kuzimu

Mwaka 2014 wengi walisifia sana kiwango cha Southampton Fc. Hata mimi binafsi walinikosha sana. Walifanikiwa kumaliza ligi kuu nafasi ya 8 kitendo kilichofanya kupokonywa...

Mourinho Vs Guardiola: niliyaona haya kitambo

Makala hii niliandika tarehe 31 mwezi wa kwanza mwaka 2016. Nilichokiona kwenye akili yangu kuwa kama Mourinho na Guardiola watakuwa ligi Moja basi tutarajie wao...

Wachezaji wa Man City wanahuzunisha

Mapema hivi leo wachezaji wa Manchester City wamerudi mazoezin kwa ajili ya kujiandaa na Mchezo wao dhidi ya Man United. Picha zifuatazo zinaonesha wachezaji...

Shaffih Dauda anavyomkingia kifua Sanchez Manchester United

Alexis Sanchez wa Manchester United ni tofauti kabisa na yule wa Arsenal,  tangu amejiunga na united bado watu wanasubiri hadi leo kushuhudia kiwango kilichomfanya...

Habari mbali mbali majuu

*Morrison Aitosa England,Akimbilia Jamaica* GUADALAJARA,Mexico *MCHEZAJI* wa zamani wa Manchester United Ravel Morrison, amethibitisha kwamba yupo tayari kujiunga na Timu ya Taifa ya Jamaica. Morrison mwenye umri...

Mourinho “Ni kocha mbovu katika Historia ya EPL”

Manchester, England Kocha mkuu wa Man United amejibu wa vijembe ambavyo vililengwa na aliyekuwa kocha wa Crystals Palace Bwana Frank De Boer. De Boer alisema...

Kwa kipigo hiki! Wenger atabaki?

Arsenal imefanikiwa kuiadhibu Watford magoli matatu. Kipigo hiki kinaipa Arsenal nafasi nzuri ya kurudi michuano ya Yuropa hapo mwakani. Shukrani za Pekee zimwendee Petr...

Mwacheni Pogba kama alivyo

Na Priva ABIUD Hali ya Man United ni ngumu sana. Maisha yamewabadilikia sana. Jana nilibahatika kuongea na mzee mmoja wa miaka kama 70 hivi. Nikamuuliza...

“Nimeinunia Manchester United”-Haji Manara

Nani asiyejua kama afisa habari wa Simba Haji Manara ni Manchester United lia-lia? Kama ulikuwa hujui basi chukua hiyo kwamba Manara ni shabiki wa...

Sanchez anajilipa mshahara Old Trafford

Unaweza kusema mchezaji wa Manchester United Alexis Sanchez anajilipa mwenye mshahara pale Old Trafford kutokana na mkwanja ambao anaiingizia klabu hiyo kupitia vyanzo mbalimbali...

STORY KUBWA