EPL

Home Ligi EPL Page 14

Sissoko anachemka kuonyesha thamani ya £30m

Mchezaji Moussa Sissoko baada ya kutoka Newcastle dakika za mwisho za kipindi cha usajili mwezi September anashindwa kuonyesha thamani ya pesa zilizotumika kumsajili. Kocha wa...

Picha ya Philippe Coutinho akiingia hospitali kufanya scanning.

Baada ya story za kuhusishwa na kujiunga na Barcelona ku-trend kwa muda sasa story imegeuka. Sasa hivi headline ya Countinho ni kuhusu jeraha alilopata...

Shabiki wa Chelsea anusurika kifo nje ya Stanford Bridge.

Mechi ya Chesea Vs Spurs haikuisha kwa furaha kwa mashabiki wote wa Chelsea. Wengine walipata matokeo ya mechi wakiwa hospital kuokoa maisha yao. Shabiki mmoja...

Ni wakati wa Mourinho kumsajili Antoine Griezmann

Na Athumani Adam Jana ilishuhudiwa Manchester United ikienda sare ya tano msimu huu ikiwa ni ndani ya meche saba za ligi kuu za hivi karibuni...

VIDEO: Tukio lililofanya Mourinho aondolewe kwenye benchi la ufundi dhidi ya West Ham

Kwa mara ya pili msimu huu kocha wa Manchester United Jose Mourinho aliondolewa kwenye benchi la ufundi wakati wa mchezo wa Premier League dhidi...

VIDEO: Welbeck alichomfanyia Wilshere baada ya Arsenal kufunga bao la kwanza

Arsenal walianza kupata bao la kuongoza dhidi ya Bournemouth baada ya Alexis Sanchez kuinasa back pass ya Steve Cook na kuandika bao. Baada ya goli...

VIDEO: Chelsea imemaliza ubishi wa Spurs

Chelsea wamerejea tena kwenye usukani wa ligi ya England wakitoka nyuma na kuinyuka Tottenham ambayo imepoteza mchezo wa Premier League kwa mara ya kwanza...

Leicester yadhihirisha soka dakika 90

Bao la dakika za majeruhi la Islam Slimani limeipa pointi moja Leicester ilipotoka nyuma mara mbili dhidi ya Middlesbrough. Alvaro Negredo alikata ukame wa mabao...

Pigo kubwa kwa Liverpool

Philippe Coutinho amepata majeraha mabaya wakati wa kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Liverpool dhidi ya Sunderland. Uwanja wa Anfield ulizizima kwa ukimya wakati fundi...

Antonio Conte azungumzia kiwango cha Willian

Kwa mashabiki wa Chelsea wanakumbuka kwa kiasi kikubwa wakati Willian alivyokua anafanya vizuri wakati yupo chini ya Jose. Muda wa Willian chini ya Conte...

Jose Mourinho ampa makavu Anthony Martial

Inasemekana kwamba Martial hakufurahishwa na kitendo cha namba 9 kupewa Zlatan wakati yeye akiwa anajiandaa kuanzisha logo yake ya Martial 9. Lakini hayo yote...

London derby- Je, Spurs kufuta rekodi mbaya dhidi ya Chelsea Darajani?

Ligi Kuu ya England leo inaendelea kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja tofauti. Ndani ya michezo hiyo kuna pambano la mahasimu wa jadi wa...

Mourihno kumleta star huyu wa Chelsea ndani ya O.T

Bila shaka kila mtu anajua kwamba Jose ni shabiki mkubwa sana wa  brazilian star Willian kutokana na perfomance aliyoonyesha wakati yupo naye. Sasa hivi...

Sijaongea na Jack Wilshere tangu asepe Arsenal

Manager kuelekea mechi yake dhidi ya Bournemouth amesema kwamba hajawai kuongea na mchezaji Jack Wilshere tangu aondoke Arsenal. Mchezaji huyo ameondoka Arsenal kwa mkopo...

Arsene Wenger amesema hakuna haja ya kupanic baada ya mechi ya PSG.

Manager wa Arsenal amewambia mashabiki wa club yake kwamba haina haja ya kupanic baada ya kutoa draw na wakiwa kwenye harakati za kumaliza juu...

Updates: Antoine Griezmann na safari ya kwenda Manchester.

Moja ya usajili ambao unasuburiwa kwa hamu na mashabiki wa Manchester united ni wa mchezaji Antoine Griezmann akitokea Atletico Madrid. Rais wa Atletico amesema...

Kwa heri captain Gerrard, shujaa wa Istanbul

Na Athumani Adam Gwiji wa Liverpool, Steven Gerrard amestaafu rasmi kutumikia mchezo wa Soka ikiwa ni baada ya miaka 19 tangu alipocheza mchezo wake wa...

Mourinho ametoa sababu ya kutomuanzisha Rooney kwenye mchezo dhidi ya Arsenal

Jose Mourinho ameeleza sababu ya kumwacha Wayne Rooney kwenye benchi katika mchezo dhidi ya Arsenal na kusema sababu kubwa ni kwamba mchezaji huyo anacheza...

Maneno ya Mourinho kuhusu msimu wa mwisho wa Carrick

Kama unakumbuka nilikupa habari ya Carrick kusema kwamba anadhani huu utakua ni msimu wake wa mwisho ndani ya OT. Carrick alisema hayo akielezea pia...

Rekodi zilizowekwa baada Chelsea ya kupaa kileleni

Ushindi wa bao 1-0 iliopata Chelsea ugenini dhidi ya Middlesbrough uliiwezesha Chelsea kupata pointi tatu na kupanda kileleni kwenye msimamo wa Premier League baada...
472,544FansLike
1,438,086FollowersFollow
67,660FollowersFollow