Sunday, September 23, 2018

EPL

Home Ligi EPL

Video: Usajili wa Kwanza wa Arsenal Dirisha la January Mbioni Kukamilika

Usajili wa kwanza kabisa kwa dirisha la mwezi January kwa klabu ya Arsenal upo mbioni kukamilika. Unaripotiwa kwamba usajili wa kiungo wa kiafrika kutoka Misiri...

Rasmi Guardiola Atamka Anaelekea EPL: Je Ni Man Utd, City, Chelsea au Arsenal

Unaweza kuacha kusoma tetesi. Hatimaye kocha Pep Guardiola leo amethibitisha rasmi kwamba ataenda kufundisha soka katika ligi kuu ya Uingereza - Barclays Premier. Boss...

Video: Huyu ndio Fellipe Anderson – Mbrazil Ambaye Anatajwa Kuelekea Old Trafford

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=IFxaE79gXz0] Hatimaye dirisha la usajili limefunguliwa rasmi barani ulaya na tetesi za usajili ndio habari kuu katika kurasa za michezo za magazeti mbali...

Kutoka £7m Mpaka £1Billion Kwa Mwaka: Hivi Ndivyo EPL Inavyozidi kuwa Tajiri kwa Kuuza...

Ligi kuu ya Uingereza maarfu kama English Premier League ipo katika hatua za mwisho za uuzaji wa haki za kuonyesha ligi hiyo kwa muhula...

LIVERPOOL YAGONGWA NYUNDO NA WEST HAM… KLOPP KUINGIA SOKONI?

Liverpool haionekani kuwa tayari kuwania nafasi nne za juu. Nguvu, uongozi na ari ya kujiamini imepotea katika klabu hiyo yenye maskani yake pale Anfield....

Chelsea vs Man Utd: The Blues Ndio Kiboko Ya United Katika EPL Tangu 1992...

LOUIS VAN GAAL asingependa kuitazama rekodi/takwimu ya timu yake Manchester United dhidi ya Chelsea katika miaka ya hivi karibuni.  The Blues wana rekodi nzuri dhidi...

Hii ndio Listi ya Wachezaji Wanaochukiwa Zaidi Ulaya

Inaonekana kuna mtu kutoka kwenye gazeti la kila siku la Ufaransa L’Equipe alikuwa na sikukuu mbaya ya Krismasi. Mwandishi huyo habari ametumia kurasa mbili za...

Chelsea Vs Man United: Hiddink Kulipiza Kisasi kwa Kumfukuzisha Kazi Van Gaal?

September 19, 1998, katika uwanja wa Santiago Bernabeu. Guus Hiddink na Louis van Gaal, kila mmoja alikaa mbali na mwenzie kwa umbali yadi moja...

VAN GAAL AKUBALI YAISHE MAN UNITED

Kocha Louis Van Gaal wa Manchester United ya nchini England amesema ni heri ajiuzulu kuwa meneja wa klabu hiyo kuliko kusubiria afukuzwe kwani ni...

JE ARSENAL ITATWAA UBINGWA WA EPL MSIMU HUU? PETR CECH YEYE IMANI YAKE IPO...

Golikipa Petr Cech wa klabu ya Arsenal ya England amesema msimu huu klabu yao itaenda mbali zaidi hata kutwaa ubingwa wa ligi kuu kutokana...

STORY KUBWA