Tuesday, September 25, 2018

EPL

Home Ligi EPL

MOURINHO ASIFIA KIWANGO CHA CHELSEA LICHA YA KUBANWA NA SPURS

Licha ya kulazimishwa sare ya bila kufungana na Tottenham, kocha wa Chelsea Jose Mourinho amekimwagia sifa kikosi chake kutokana na kiwango kilichoonesha kwenye mchezo...

Anthony Martial ameanza sherehe ya birthday yake kwa style hii

Leo mchezaji wa Manchester united Anthony Martial anatimiza miaka 20 ambapo amemaliza kipindi cha umri wa teenage akiwa kama most expensive teenage kwenye historia...

LOUIS VAN GAAL AMTAKA HARAKA KIKOSINI NYOTA WAKE WA ZAMANI

Kocha Louis Van Gaal wa Manchester United amemtaka mshambuliaji wake anayekipiga kwa mkopo katika klabu ya Borrusia Dortmund, mbeligiji Adnan Januzaj kurejea haraka kikosini...

DIEGO COSTA ANAMJARIBU MOURINHO?

Bado hakieleweki kati ya kocha Jose Mourinho na mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Diego Costa mara baada ya jana katika mchezo dhidi ya Tottenham...

GUARDIOLA AMJAZA UPEPO ZLATAN KUELEKEA MANCHESTER DERBY

Bosi wa Manchester City Guardiola ameelezea heshima yake juu ya Zlatan Ibrahimovic na kusema kuwa ni moja ya wachezaji bora kabisa duniani licha ya...

SCHWEINSTEIGER ATUPWA JELA YA FA

Kiungo wa Manchester United, Mjerumani Bastian Schweinsteiger 31, anakabiliwa na adhabu ya kufungiwa mechi tatu na chama cha soka England (FA) kutokana na kitendo...

FA YAMKUTA NA HATIA AGUERO, SASA KUPIGWA PINI MECHI TATU

Straika wa Manchester City Sergio Aguero amekutwa na hatia na Chama cha Soka England FA kwa kosa la kumpiga kiwiko beki wa West Ham...

Yaya Toure amepondwa kwa perfomance ya jana Vs Arsenal.

Yaya Toure licha ya kufunga goli pekee la Manchester City kwenye mechi ya jana dhidi ya Arsenal lakini baadhi ya watu wanasema alikuja na...

Baada ya Gunners na Chelsea Kunyooshwa – Man City yaitoa kifua mbele EPL

Baada ya Arsenal na Chelsea  kutopata matokeo mazuri katika mechi za kwanza za hatua ya 16 bora ya michuano ya Klabu bingwa ya ulaya,...

ISLAM SLIMANI AFUNGUA UKURASA WA MAGOLI LEICESTER IKIUA 3-0

Leicester City wamerudi kwa kishindo baada ya wiki iliyopita kupewa kipigo cha mbwa mwizi na Liverpool kwa kuwafumua Burnley mabao 3-0. Islam Slimani, nyota wa...

STORY KUBWA