Thursday, September 20, 2018

EPL

Home Ligi EPL

Alichosema Fabregas Kuhusu Kuongoza Mgomo Dhidi Ya Mourinho

Baada ya kuzuka kwa tuhuma kwamba yeye ni mmoja wa wachezaji wanaoongoza mgomo wa wachezaji wa Chelsea dhidi ya kocha wap Jose Mourinho -...

REFEREE AJIKUTA AKISHANGILIA GOLI LA TOTTENHAM

Baada ya mchezo wa jana kati ya Tottenham dhidi ya Aston Villa uliochezwa kwenye uwanja wa White Hart Lane, kumeibuka mijadala kwenye mitandao ya...

PELLEGRINI AMKINGIA KIFUA BONY

Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini amewaasa mashabiki wa klabu hiyo kutoa sapoti ya kutosha kwa mshambuliaji wa timu hiyo Wilfried Bony, lakini akikiri...

RAMIRES, OSCAR WATOA NENO KUHUSU MATOKEO MABOVU YA CHELSEA

Kiungo wa Chelsea na timu ya taifa ya Brazil Ramires bado anaamini kwamba kocha wa klabu yake Jose Mourinho bado ana sapoti kubwa kutoka...

YAYA TOURE AGOMA KUBAKI UWANJANI, AKASIRISHWA NA PELLEGRINI

Kweli hakuna kazi ngumu kwa kocha kama kuwa na kikosi chenye wachezaji maarufu wenye majina kama Yaya Toure. Baada ya jana Toure kuifungia goli...

MASHABIKI CHELSEA WAMBAKIZA MOURINHO

Baada ya jana kukubali kichapo kingine cha bao 3-1 katika uwanja wao wa nyumbani dhidi ya Liverpool, mashabiki wa Chelsea waliamua kuimba huku wakimtaja...

MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA EPL JUMAMOSI NOVEMBER 1

Ligi kuu nchini England imeendelea leo kwa kushudia michezo kadhaa ikipigwa kwenye viwanja tofauti huku timu hizo zikiwania pointi tatu muhimu ili kujiweka sawa...

Rooney anavyochangia kuidhoofisha Man United

Katika mchezo wa Manchester Derby wikiendi iliyopita, kuna wakati ndani ya kipindi cha kwanza mshambuliaji na nahodha wa Manchester United alipata mpira akiwa upande...

KLOPP HAONI KAMA MECHI YA LIVERPOOL VS CHELSEA NI KUBWA

Kocha wa Liverpool Mjerumani Jurgen Klopp amesema kwa mtazamo wake inachezwa mechi kati ya timu zilipo katika nafasi ya 9 na 15 kwenye msimamo...

SIHOFII KIBARUA CHANGU – JOSE MOURINHO

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema huwa hakai na kufikiria kuhusu kibarua chake Stamford Bridge huku akiviambia vyombo vya habari kwamba vinajaribu kuweka presha...

STORY KUBWA