Saturday, September 22, 2018

EPL

Home Ligi EPL

Baada ya kuifikia rekodi ya Henry – hii ndio idadi ya magoli anayohitaji Rooney...

WAYNE ROONEY kwa mara nyingine ameendelea kuliandika jina lake kwenye vitabu vya historia ya soka baada ya usiku wa kuamkia leo kufunga goli katika...

Mourinho sasa amgeukia Van Gaal baada ya Man United kutofanya vizuri

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho anazidi kutafuta wa kumuangushia mzigo wa lawama kutokana timu hiyo kutofanya vizuri na kusema kwamba, wachezaji wake wanashindwa...

Ronaldo aeleza Kwanini Aliiogopa Jezi Namba 7 Man United

Hatimaye usiku wa jana Lionel Andres Messi alitajwa rasmi kuwa mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora wa dunia kwa mara 5, baada ya kuwashinda...

FABREGAS AMFUKUZISHA KAZI MFANYAKAZI WA CHELSEA

Uongozi wa klabu ya Chelsea umemfukuza kazi mfanyakazi wa uwanja wao baada ya mfanyakazi huyo kumkejeli nahodha wa zamani wa klabu ya Arsenal Cesc...

JE, WENGER AMEANZA KUBADILIKA?

Naseem Kajuna Moja ya sifa ya watu watokao nchini Ufaransa ni tabia yao ya ubishi, kwenye lugha ya Kingereza kuna msemo usemao “ You can’t...

Mane atisha kama moto wa kifuu

Sadio Mane ametandika hatrick yake ya kwanza. Liverpool imegawa dozi ya mabao 4-0 kwa West ham. Liverpool 4-0 West Ham FT: ⚽️ Salah ⚽️ Mané ⚽️ Mané ⚽️ Sturbridge Imemchukua...

Rashford amefichua beki anayemuogopa zaidi EPL

Marcus Rashford amemtaja Laurent Koscielny kama beki mgumu kabisa kuwahi kukutana naye mpaka sasa kwenye maisha yake ya soka. Rashford amekuwa kwenye kiwango bora tangu...

Tamko la kuhusu uhamisho wa Hazard

Dirisha kubwa la usajili nchini Uingereza limeshafungwa tayari. Lilifungwa toka tarehe 9-Agosti lakini klabu zote nchini humo zinaruhusiwa kuuza na sio kusajili. Lakini kwa...

Uwanja Kipenzi cha Mashabiki wa West Ham United, Upton Park wakumbwa na ya Highbury.

Wengi hasa mashabiki wa Arsenal wanaweza kuwa na kumbukumbu juu ya hali ngumu ambazo wamekutana nazo baada ya kuhama kutoka katika viwanja vyao vya...

Wachezaji wa Liverpool waingia batani kwenye Christmas Party

Baada ya ushindi wa Liverpool dhidi ya Everton haukuishia kwenye uwanja wa Goodison Park siku ya Jumatatu. Sherehe iliunganisha na sherehe ya wachezaji kusherekea...

STORY KUBWA