Saturday, September 22, 2018

EPL

Home Ligi EPL

Terry kuwavaa Arsenal wikiendi hii

Beki wa Chelsea John Terry amerejea mazoezini baada ya kupata majeraha yalimweka nje kwa takriban wiki moja na nusu na anatarajiwa kuiongoza timu hiyo...

VIDEO: LEICESTER ILINYIMWA TUTA ILI ISITANGAZE UBINGWA OT?

Kwanini haikuwa penati? Baada ya mchezo kati ya Manchester United vs Leicester City kumalizika story kubwa kwenye mindao ya kijamii ilikuwa ni tuta ambalo Leicester...

Scholes amtoa Fellaini kikosini Man United

Paul Scholes amewatupia lawama baadhi ya wachezaji baada ya Manchester United kupoteza mchezo dhidi ya Watford kwa kufungwa mabao 3-1. Scholes, ambaye anafanya kazi ya...

FABREGAS AMDHIHIRISHIA KONTE UBORA CHELSEA IKISHIDA UGENINI

Mabao mawili ya Cesc Fabregas katika muda wa ziada yaliwapa Chelsea ushindi mnono baada ya kutoka nyuma kwa mabao mawili na kuwafunga Leicester pungufu...

MASHABIKI WA LEICESTER WAPIGA ‘TUNGI’ BURE, LEICESTER CITY IKIIBANA MAN CITY

Mashabiki wa klabu ya soka ya Leicester City ya nchini England jana usiku walikunywa beer za bure kama shukrani kutoka kwa wamiliki ya namna...

SCHWEINSTEIGER AWATULIZA MASHABIKI KUHUSU VAN GAAL

Kiungo mkongwe wa Manchester United na timu ya taifa ya Ujerumani Bastian Schweinsteiger amewapa moyo na kuwataka mashabiki wa United wawe wavumilivu dhidi ya...

Kumbe Klopp alifanya kitu hiki kibaya Manchester kabla ya kwenda Liverpool.

Licha ya kumsifia sana Sir Alex Fergie ambae ni kocha mwenye mafanikio ndani ya Manchester united, lakini Klopp ametoa siri yake kubwa kwamba hakuwa...

JE ARSENAL ITATWAA UBINGWA WA EPL MSIMU HUU? PETR CECH YEYE IMANI YAKE IPO...

Golikipa Petr Cech wa klabu ya Arsenal ya England amesema msimu huu klabu yao itaenda mbali zaidi hata kutwaa ubingwa wa ligi kuu kutokana...

Arsenal wabanwa mbavu nyumbani

Mfululizo wa ushindi katika mechi sita za Premier League kwa upande wa Arsenal umeishia leo baada ya kulazimishwa suluhu na Middlesbrough katika Uwanja wa...

Kibarua cha Allardyce England matatani, akumbwa na tuhuma kubwa za rushwa

Meneja wa Timu ya Taifa ya England Sam Allardyce anaweza kupoteza kibarua chake mbele ya FA baada ya kiwezezesha timu timu hiyo kucheza mchezo...

STORY KUBWA