Thursday, September 20, 2018

EPL

Home Ligi EPL

OZIL AWEKA REKODI MPYA EPL

Mpika mabao wa Arsenal Mesut Ozil ameweka rekodi mpya katika Ligi Kuu nchini England (EPL) baada ya kutoa pasi za magoli katika michezo sita...

ZOUMA NAE AIBUKA KUHUSU MOURINHO

Beki wa Chelsea Kurt Zouma amekanusha tetesi zinazodai kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho hana tena sapoti ya wachezaji wake kutokana na muendelezo wa...

JOSE MOURINHO BADO SALAMA NDANI YA CHELSEA

Pamoja na kipigo cha tatu mfululizo na cha saba tangu kuanza kwa msimu huu, klabu ya Chelsea haina mpango wa kutafuta mbadala wa Mourinho...

MASHABIKI LIVERPOOL WAMSIKITISHA KLOPP ANFIELD

Baadhi ya mashabiki wa Liverpool jana walimuacha peke yake kocha wao Jurgen Klopp mara baada ya mlinzi wa Crystal Palace, Scot Danny kufunga goli...

BEGOVICH: “WACHEZAJI WOTE CHELSEA TUNAMSAPOTI MOURINHO”

Chelsea jana iliendelea kukubali kipigo cha tatu mfululizo katika ligi na cha saba katika michezo 12 waliyocheza tangu kuanza kwa msimu huu baada ya...

ETI PAULISTA ALIKUA HAWAJUI WAPINZANI WAKUU WA ARSENAL

Leo ni siku ambayo mahasimu wawaili wa jiji la London Arsenal na Tottenham wanatarajia kuchuana vikali katika muendelezo wa michuano ya Ligi Kuu nchini...

“NIZOMEENI MIMI, WAACHENI WACHEZAJI”- LOUIS VAN GAAL

Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal amewashauri mashabiki wa klabu hiyo kuacha kuwazomea na kuwashambulia wachezaji wake na badala yake amewataka wamzomee yeye...

Cristiano Ronaldo ana ndoto za kurejea Old Trafford 2016

Tangu alipoondoka Old Trafford mnamo mwaka 2009, kujiunga na Real Madrid, tetesi za kurejea katika klabu iliyompa umaarufu zaidi duniani - Manchester United hazijawahi...

STEVEN GERRARD AMEZUNGUMZA NA KLOPP KUHUSU KURUDI LIVERPOOL

Gerrard na Klopp wamekutana kwenye mechi ya Liverpool Vs Crystal Palace na kufanya mazungumzo ya muda kidogo. Gerrard kwa sasa anacheza kwenye ligi ya...

PICHA ZA WACHEZAJI WA MANCHESTER CITY BAADA KU-TOUCH DOWN MANCHESTER

Kikosi cha Manchester City kimewasiri kwao jijini Manchester kuendelea na harakati nyingine za michezo yao ikiwemo ratiba ya ligi. Ikumbukwe kwamba Manchester city imeshafuzu...

STORY KUBWA