Wednesday, September 19, 2018

EPL

Home Ligi EPL

KLOPP AVUNJA MIWANI AKISHANGILIA USHINDI WA LIVERPOOL

Kocha Jurgen Klopp wa Liverpool jana alijikuta akiharibu miwani yake mara baada ya kujumuika pamoja na wachezaji wake kushangilia goli la ushindi katika dakika...

Picha 10 za jinsi John Terry alivyoikoa Chelsea kwenye aibu.

Baada ya kujifunga dakika 5 baada ya kipindi cha pili kuanza, John Terry na timu yake wakajikuta wanakua nyuma kwa magoli mawili bila. Dakika ya 64...

FAINALI YA FA CUP INAZIKUTANISHA MAN UNITED VS CRYSTAL PALACE BAADA YA MIAKA 26

Crystal Palace itakutana na Manchester United kwenye mchezo wa fainali ya kombe la FA May 21 mwaka huu baada ya kupambana kupata ushindi dhidi...

SANCHEZ, OZIL, KUPEWA MIKATABA MIREFU ARSENAL

Klabu ya Arsenal ya England inajiandaa kumpa mkataba mpya mchezaji wake Alexis Sanchez wa miaka mitano kabla ya kumpa dili hilo tena mjerumani Mesut...

BAADA YA KUFUTA UKAME,HIZI NDIYO SIKU AMBAZO HAZARD ALIKAA BILA KUFUNGA GOLI 

Eden Hazard jana alimaliza ukame wa magoli kwenye mchezo wa FA Cup kati ya Chelsea dhidi ya MK Dons kwa kufunga bao baada ya...

Mkhitaryan; Mkali wangu wa EPL ni Thierry Henry

Maisha yanaanza kumnyookea Henrikh Mkhitaryan ndani ya Manchester United baada ya kuanza kufumania nyavu hasa kwenye mechi muhimu. Mchezaji huyu mwenye umri wa miaka 27...

Liverpool vs Man Utd: Ushindi kwa United Utampa Van Gaal rekodi bora kuliko kocha...

Liverpool vs Manchester United: ni moja ya mechi kubwa kabisa katika historia ya soka nchini Uingereza.  Timu hizi zinakutana kwa mara nyingine tena usiku huu,...

Baada ya Arsenal, Manchester United inakaribia kukamilisha usajili wa mchezaji huyu.

Leo mashabiki wa Arsenal wamefurahishwa na usajili wa mchezaji mpya na kuwaacha watani wao wa jadi wakisubiri taarifa za usajili kwenye club yao. Taarifa iliyopo...

VIDEO: MASHABIKI WA LIVERPOOL WAGOMA NA KUTOKA NJE YA UWANJA, TIMU YAO YABANWA UNFIELD

Juma lililopita klabu ya Liverpool ilitangaza bei mpya ya ticket kwa ajili ya msimu ujao na mashabiki wa timu hiyo wameamua kupinga hatua hiyo...

Sanchez: Ninapapenda Arsenal, nitabaki hapa kama….

Alexis Sanchez mchezaji muhimu sana kwenye kikosi cha Arsenal sasa hivi na furaha kubwa ya mashabiki wa club hii ni kuona mchezaji huyu anasaini...

STORY KUBWA