Tuesday, September 25, 2018

EPL

Home Ligi EPL

OFFICIAL: CHELSEA YAMTIMUA MOURINHO

Club ya Chelea imemtimua kocha wake Jose Mourinho ikiwa ni mezi saba tu tangu kocha huyo akiongoze kikosi cha The Blues kutwaa ubingwa wa...

MOURINHO AMCHIMBA ‘MKWARA’ DIEGO COSTA, AMTAKA ABADILIKE

Kocha Jose Mourinho wa Chelsea, ameponda uwezo wa nyota wake Diego Costa kwamba amepoteza makali na kwamba anashindwa kuongoza timu ipasavyo katika safu ya...

DAUDA TV: HIVI NDIVYO ARSENAL ILIVYOSHINDWA KUKWEA KILELENI MWA EPL

Club ya Arsenal imeshindwa kukwea kileleni mwa ligi kuu England baada ya kukubali kipigo cha magoli 4-0 kutoka kwa Southampton kwenye mchezo uliochezwa December...

Sissoko anachemka kuonyesha thamani ya £30m

Mchezaji Moussa Sissoko baada ya kutoka Newcastle dakika za mwisho za kipindi cha usajili mwezi September anashindwa kuonyesha thamani ya pesa zilizotumika kumsajili. Kocha wa...

Wenger ajibu mapigo baada ya Mourinho kudai alitaka kumharibu sura

Arsene Wenger amekataa kujibu kauli ya hasimu wake Jose Mourinho kwamba siku moja angemharibu sura yake Katika toleo la nne la kitabu cha ‘Jose Mourinho:...

BAADA YA KUWA KOCHA WA MAN UNITED, HAYA NI MANENO YA MOURINHO KWA GUARDIOLA

Jose Mourinho amesema kamwe hatathubutu kupoteza muda wake kumwangalia Pep Guardiola pekee kwenye ligi ya England msimu ujao, kwasababu anaamini akifanya hivyo, basi ataruhusu...

WANYAMA AIPA PIGO SOUTHAMPTON

Wanyama atakaa nje kwa wiki sita baada ya kufungiwa michezo mitano. Punde tu akimaliza adhabu yake timu itakabiliana na Liverpool mwezi Machi 19. Southampton itakuwa...

JURGEN KLOPP : STEVEN GERRARD ANAKARIBISHWA LIVERPOOL LAKINI HATOCHEZA

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari amemzungumzia Steven Gerrard kama anaweza kuja kucheza tena na kikosi cha Liverpool. Manager...

Hili ni jibu la Zlatan baada ya kuulizwa kama anakaribia ku-sign na club ya...

Jana usiku Zlatan alisaidia club yake ya PSG kuitoa nje ya mashindano club ya Chelsea na kuipa nafasi PSG ya kusonga mbele. Sasa baada...

Terry kuwavaa Arsenal wikiendi hii

Beki wa Chelsea John Terry amerejea mazoezini baada ya kupata majeraha yalimweka nje kwa takriban wiki moja na nusu na anatarajiwa kuiongoza timu hiyo...

STORY KUBWA