Saturday, September 22, 2018

EPL

Home Ligi EPL

ROMAN ABRAMOVICH ANAJIANDAA KUTOA MEGA OFFER KUMSAJILI CRISTIANO RONALDO.

Inasemekana kwamba Abromovich anaamini kwamba uwepo wa Ronaldo kwenye club yake ya Chelsea utai boost hata kama Mourihno akiwepo au asipokuwepo. Hivi taarifa kubwa ni...

NDEREMO NA VIFIJO DR EVA CARNEIRO KAUOLEWA…MOURIHNO KAALIKWAA??

Dr Carneiro mwenye miaka 42 hatimaye ameolewa na aliyekua partner wake Jason De Carteret huko London siku ya Jumatano jana. Dr Carneiro hivi sasa ameifungulia...

RIPOTI : AKITOKA MESSI NA RONALDO ANAFUATIA MEMPHIS DEPAY

Licha ya kutofanya vizuri uwanjani lakini sokoni Memphis Depay anafanya vizuri kwenye mauzo ya jezi yake. Hivi karibuni Manchester wametangaza kuweka rekodi yao mpya...

PSG, MADRID WAMVAA EDEN HAZARD CHELSEA

Klabu ya PSG imejitosa kugombana na klabu ya soka ya Real Madrid kuwania saini ya mchezaji Eden Hazard wa Chelsea katika majira ya kiangazi...

HII NDIYO KAULI YA CARLO ANCELOTTI KUHUSU CHELSEA

Kocha wa zamani wa klabu za AC Milan, PSG, Chelsea na Real Madrid, muitaliano Carlo Ancelotti ameelezea tatizo lililopo Chelsea hivi sasa huku akisema...

Je Messi anaweza kutamba Britannia kwa Stoke? Barca ingeweza kutwaa EPL? Majibu ameyatoa Pique...

“Yeah, but can he do it on a cold rainy night in Stoke. (Ndio, lakini anaweza kufanya anayofanya kwenye usiku wa baridi na mvua pale...

Gonzalo Higuin kwenda Chelsea? Wakala wake ametoa majibu

Siku nyingine ya mwezi November imekuja na story nyingine ya usajili barani ulaya. Story ya leo inaihusisha klabu ya Chelsea - mwandishi wa habari wa...

SCHWEINSTEIGER AWATULIZA MASHABIKI KUHUSU VAN GAAL

Kiungo mkongwe wa Manchester United na timu ya taifa ya Ujerumani Bastian Schweinsteiger amewapa moyo na kuwataka mashabiki wa United wawe wavumilivu dhidi ya...

HAWA NDIO WACHEZAJI WANAOWANIWA NA VAN GAAL

Kocha Louis Van Gaal wa Manchester United anawania saini za wachezaji 'mawinga' wenye kasi zaidi ili kuipa nguvu safu ya ushambuliaji ambayo imekua ikisuasua...

ARSENAL SASA YAPATA ‘BOOST’ RAMSEY, BELERIN NA OX SHWARI

Klabu ya Arsenal sasa imepata ahueni kwa wiki iliyokua mbaya sana kwao baada ya kuandamwa na majeruhi na hata kuwa sababu ya kutopata matokeo...

STORY KUBWA