Thursday, September 20, 2018

EPL

Home Ligi EPL

MEMPHIS DEPAY SASA KAZI KWAKO MAN UNITED

Baada ya kutopangwa tangu mara ya mwisho alipocheza na kutolewa wakati wa mapumziko katika mechi dhidi ya Arsenal, Memphis Depay sasa anatarajiwa kuongoza mashambulizi...

ADEBAYOR AMERUDI UWANJANI NA JEZI YA TOTTENHAM HOTSPURS

Mchezaji wa kimataifa wa Togo mwenye miaka 31 amerudi tena uwanjani akiwa amevaa jezi Tottenham Hotspurs kucheza mechi ya kujitolea kwa ajili ya foundation...

STURRIDGE SASA MAMBO SAFI LIVERPOOL

Mshambuliaji Daniel Sturridge wa Liverpool amejitangaza kuwa yuko fiti na sasa anatarajiwa kurudi uwanjani mara baada ya kuwa ameanza mazoezi na kikosi cha kwanza...

SANCHEZ, OZIL, KUPEWA MIKATABA MIREFU ARSENAL

Klabu ya Arsenal ya England inajiandaa kumpa mkataba mpya mchezaji wake Alexis Sanchez wa miaka mitano kabla ya kumpa dili hilo tena mjerumani Mesut...

HUU NDIO USHAURI WA BECKHAM KWA MEMPHIS DEPAY

David Beckham amemshauri winga wa sasa wa Manchester United mholanzi Memphis Depay kuwa asiiogope jezi namba 7 wala kuichukulia kwa mzaha na kwamba ni...

FABREGAS HAJUI NINI TATIZO LA CHELSEA MSIMU HUU

Kiungo Cesc Fabregas wa Chelsea na timu ya taifa ya Hispania amesema msimu huu kwao umekua mbaya sana na kwamba hajui nini kinaenda vibaya...

MASHABIKI WA ARSENAL WAME-REACT KWA MSHANGAO KUHUSU TETESI ZA MESSI KUICHAGUA ARSENAL

Hakuna club ambayo ina mashabiki ambao wanaichukua timu yao na kuipenda pia kama mashabiki wa Arsenal. Baada ya tetesi kusambaa kwenye mtandao leo kwamba...

GARY NEVILLE AGOMA RONALDO KURUDI MAN UNITED, AMTAKA MCHEZAJI HUYU

Legendari wa Manchester United, Gary Neville amesema hadhani kama ni sahihi kwa klabu kuangalia yaliyopita zaidi ya kuangalia mbele. Neville anasema haungi mkono suala...

CARLO ANCELOTTI KUTUA LIGI KUU ENGLAND MSIMU UJAO

Kocha muitaliano Carlo Ancelotti amesema anatamani kurudi tena kufundisha soka nchini England kwani anahitaji kufundisha katika ligi bora na yenye ushindani, lakini akasisitiza haitakua...

MANCHESTER INAMUHITAJI CHICHARITO – DAVID DE GEA

Hivi sasa Chicharito ni mchezaji tegemezi kwa club ya Bayer Leverkusen ambayo inashiriki ligi ya Bundesliga inayoonyeshwa kupitia Startimes. Chicharito alisema Manchester na kuhamia Leverkusen...

STORY KUBWA