Monday, June 18, 2018

EPL

Home Ligi EPL

HII NDIYO KAULI YA CARLO ANCELOTTI KUHUSU CHELSEA

Kocha wa zamani wa klabu za AC Milan, PSG, Chelsea na Real Madrid, muitaliano Carlo Ancelotti ameelezea tatizo lililopo Chelsea hivi sasa huku akisema...

Je Messi anaweza kutamba Britannia kwa Stoke? Barca ingeweza kutwaa EPL? Majibu ameyatoa Pique...

“Yeah, but can he do it on a cold rainy night in Stoke. (Ndio, lakini anaweza kufanya anayofanya kwenye usiku wa baridi na mvua pale...

Gonzalo Higuin kwenda Chelsea? Wakala wake ametoa majibu

Siku nyingine ya mwezi November imekuja na story nyingine ya usajili barani ulaya. Story ya leo inaihusisha klabu ya Chelsea - mwandishi wa habari wa...

SCHWEINSTEIGER AWATULIZA MASHABIKI KUHUSU VAN GAAL

Kiungo mkongwe wa Manchester United na timu ya taifa ya Ujerumani Bastian Schweinsteiger amewapa moyo na kuwataka mashabiki wa United wawe wavumilivu dhidi ya...

HAWA NDIO WACHEZAJI WANAOWANIWA NA VAN GAAL

Kocha Louis Van Gaal wa Manchester United anawania saini za wachezaji 'mawinga' wenye kasi zaidi ili kuipa nguvu safu ya ushambuliaji ambayo imekua ikisuasua...

ARSENAL SASA YAPATA ‘BOOST’ RAMSEY, BELERIN NA OX SHWARI

Klabu ya Arsenal sasa imepata ahueni kwa wiki iliyokua mbaya sana kwao baada ya kuandamwa na majeruhi na hata kuwa sababu ya kutopata matokeo...

OZIL AWEKA REKODI MPYA EPL

Mpika mabao wa Arsenal Mesut Ozil ameweka rekodi mpya katika Ligi Kuu nchini England (EPL) baada ya kutoa pasi za magoli katika michezo sita...

ZOUMA NAE AIBUKA KUHUSU MOURINHO

Beki wa Chelsea Kurt Zouma amekanusha tetesi zinazodai kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho hana tena sapoti ya wachezaji wake kutokana na muendelezo wa...

JOSE MOURINHO BADO SALAMA NDANI YA CHELSEA

Pamoja na kipigo cha tatu mfululizo na cha saba tangu kuanza kwa msimu huu, klabu ya Chelsea haina mpango wa kutafuta mbadala wa Mourinho...

MASHABIKI LIVERPOOL WAMSIKITISHA KLOPP ANFIELD

Baadhi ya mashabiki wa Liverpool jana walimuacha peke yake kocha wao Jurgen Klopp mara baada ya mlinzi wa Crystal Palace, Scot Danny kufunga goli...

STORY KUBWA