Friday, May 25, 2018

EPL

Home Ligi EPL

Walcott, Ozil waing’arisha Arsenal na kuikuta Man City kileleni

Theo Walcott amefunga mabao mawili kati ya matatu na kuipa timu yake ya Arsenal iliyokuwa pungufu mbele ya Swansea chini ya meneja wao mpya...

VIDEO: Rekodi 3 zilizowekwa baada ya Man United kuchapwa 4-0 na Chelsea

Jose Mourinho amedhalilishwa aliporejea kwenye klabu yake ya zamani Chelsea akiwa na kikosi cha Manchester United kwenye uwanja wa Stamford Bridge. The Blues ambao walimtimu...

Shabiki asubiria mkeka wa milioni 150 kama Leicester ikiwa bingwa.

Shabiki anayejiamini kupita kiasi amepiga chini dili la watu ambao wanataka kununua bet ticket yake kwa gharama ya Pound 25,000. Baada ya ushindi wa...

SABABU 5 ZINAZOMFANYA OBI MIKEL KUWA LEGEND WA CHELSEA

  Licha ya kupitia misukosuko mingi kunako klabu ya Chelsea, lakini John Obi Mikel amebaki kuwa mhimili wa klabu hiyo kutokana na sababu mbalimbali. Kiungo huyo...

PELLEGRINI, BENITEZ, NDANI YA MAKOCHA WANNE WANAOPEWA NAFASI EVERTON

Jana Roberto Martínez alifukuzwa kunako klabu ya Everton baada ya kudumu kwa misimu mitatu. Sasa swali kubwa lililobaki je, ni nani wa kurithi mikoba...

GUADIOLA, KOCHA ASIYE NA MANENO MENGI MWENYE KUTAKA KAZI YAKE IZUNGUMZE

Na Mahmoud Rajab Pep Guardiola amekuja England kuthibitisha uwezo wake baada ya kufanya hivyo nchini ya Uhispania na Ujerumani. Jumapili alitambulishwa kwa mashabiki na kuonesha shauku...

Baada ya performance kali mashabiki wataka Mbwa wa Sanchez wapewe mkataba.

Alexis Sanchez baada ya kupiga hat trick jana mashabiki wa Arsenal wamejaza tweets zikishinikisha club ya Arsenal iwape mkataba mbwa wa Alxes Sanches. Sanchez muda...

UBINGWA WA LEICESTER ILIKUWA NI HABARI MBAYA KWA STAR WA MISRI

Habari za Leicester kutwaa ndoo ya EPL zilikuwa mbaya kwa Mido ambaye ni mchezaji wa zamani wa  Tottenham. Mido ambaye jina lake halisi ni Ahmed...

Manchester United ndio imemfanya Rooney awe hivi

Na Ayoub Hinjo Rudi miaka kadhaa nyuma kisha kumbuka jinsi nahodha wa Manchester United Wayne Rooney alivyokuwa anajitoa kwa kila kitu pale Old Trafford. Alikuwa...

Tukio hili lilistahili kuwa ‘tuta’?

Lilikuwa ni tukio ambalo liliacha maswali mengi kwa wadau wa soka kwa ni penati au haikuwa penati? Hiyo ilikuwa ni katika mchezo kati ya...

STORY KUBWA