EPL

Home Ligi EPL

Historia fupi ya klabu ya Yanga

Klabu ya Yanga ni moja ya vilabu vikubwa sana hapa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Ina mafanikio nje na ndani ya Tanzania. Siku...

“Mourinho amechangia mimi kuumwa”-Ommy Dimpoz

Mkali wa BongoFleva Ommy Dimpoz amerudi bada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu. Amerejea na ngoma kali #NiWewe ambayo anamshukuru Mungu mwa kuendelea...

Je Emiliano Sala na rubani Wapo hai?

Mambo bado yanaizid kuwa magumu kuhusiana na jibu la moja kwa moja kama Emiliano na rubani wake wapo hai ama lah. Inauma sana na...

Shabiki wa Chelsea asusa kuangalia mechi hadi Sarri atakapofukuzwa

Mwandishi wa habari za michezo Tanzania, Abdul Mkeyenge ambaye pia ni shabiki wa Chelsea ametoa maoni yake kuhusu mwenendo wa The Blues kwenye ligi...

London Derby: Arsenal vs Chelsea

Arsenal Vs Chelsea, mchezo huu utapigwa katika dimba la Fly Emirates, majira ya saa 20:30 usiku. Mara ya kwanza Chelsea 2–1 Arsenal 1907–08 Football League (9 Nov 1907) Mechi...

Kwa heri Petr Cech GLOVES zako zitaendelea kukumbukwa Darajani

Wakati zilipovuja taarifa za golikipa wa Jamhuri ya Czech ambaye alikuwa asajiliwe na klabu ya Manchester United atakwenda Chelsea kwa sababu mtu ambaye alikuwa...

Asante David De Gea kwa utamu huu!!

Katika ukurasa wake wa tweeter mwanaume mmoja mabaye wengi walidhani ndiye aliyewahi kuvaa gloves bora kwenye kikosi na historia ya Manchester United alikuwa ameweka...

Makambo atuliza PRESHA Yanga

Afisa habari wa Yanga Dismas Ten ametoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimhusisha mshambuliaji wao Heritier Makanbo kutoweka Yanga. "Makambo alisafiri...

Sio Van Djik pekee yake, tusiwe wachoyo

Nimeona mara kadhaa walio wengi wanamsifu sana Van Djik kuwa amekuwa mchezaji wa muhimu zaidi kwenye kikosi cha Liverpool. Bila shaka. Hakuna ubishi kuwa...

Klopp dokta mwenye gundu, anayejaribu kutibu mikosi ya Liver

Liverpool mabingwa wa kufeli. Samahani kwa lugha isiyo rafiki kwao. Mara kadhaa Liverpool wamekuwa na msimu mzuri lakini mzimu wa kushindwa kumaliza mbio salama...

Solskjaer ni chaguo sahihi Man United

Manchester United ilikuwa imeachana na utamaduni wake, tangu Sir Alex Ferguson ameondoka walijaribu walikuwa wanajaribu kupata mtu ambaye atakuja kuindesha na kuijenga United katika...

“Mourinho mmoja sura tofauti”-Shaffih Dauda

Mourinho wa mwanzoni mwa miaka ya 2000, Mourinho wa Inter na Real Madrid na Mourinho aliyerudi Chelsea kwa mara ya pili na baadaye Manchester...

Yaliyomkuta Mourinho amejitakia mwenyewe

Maisha yanabadilika mazingira mpaka tabia, nchi zimebadili mengi na sasa tabia maisha zimeibuka, kasi ya mabadiliko imekuwa kubwa na hakuna tena anayetaka kuishi kwenye...

Shaffih Dauda, Geoff Lea wapishana kuhusu Pogba wa Mourinho

Ukiachana na Mourinho kupigwa chini mjadala mwingine ulioibuka kitaa ni kwamba kuna wachezaji walikuwa wanamchomesha Mourinho ili atimuliwe, Pogba anatajwa kuwa aliongoza mapambano kuhakikisha...

Nikkiwapili apigilia msumari Mourinho kutimuliwa Man United

Yamezungumzwa mengi sana kwenye mitandao ya kijamii, vijiweni na sehemu nyingine nyingi kuhusu Mourinho kupigwa chini na Manchester United. Nikkwapili ni shabiki 'lialia' wa Man...

Mourinho inatosha sasa

Hivi Mourinho alijua mashabiki wa United walikuwa kifua wazi kwenye mabanda umiza wakishindilia kwa kauli yao ile ya "MOU NDIO MASTA WA BIG MECHI,...

Hivi Sarri hajui kama Kante ni kiungo mkabaji bora duniani?

Na Patrick Admila "Sina elimu kubwa ya soka kumzidi Sarri, lakini kumweka Fabregas kama kiungo mlinzi halafu Kante asimame nyuma ya mshambuliaji kunanifanya niwe na...

Cr7 anarejea Old Traford vs Man United, magroup yote ya Champions League haya hapa

Hii leo dakika chache zilizopita kulikuwa na tukio la upangwaji wa makundi ya Champions League 2018/2019 huku tukio kubwa ni Cristiano Ronaldo kupangwa kundi...

Mechi 3 za mwanzo kwa Jose Mourinho kwa misimu 9 zilikuwa hivi….., abaki aondoke?

Tangu baada ya kipigo kutoka kwa Tottenham Hotspur siku ya Jumatatu, kocha Jose Mourinho amekua akiandamwa sana karibia kila pande ya dunia. Hii inawezekana kuwa...

Listi ya vilabu tajiri duniani, Madrid, Barca zaongoza, Man Utd yaongoza kwa kuingiza faida...

Mapato makubwa ya fedha zinazotokana na mauzo ya haki za matangazo ya TV , mauzo jezi na mapato ya udhamini wa jezi, wadhamini na...
473,596FansLike
169,928FollowersFollow
72,146FollowersFollow