Monday, June 18, 2018

EPL

Home Ligi EPL

Frank Lampard ametangazwa rasmi kuwa kocha wa Derby Country.

Na Melkizedeck Mbise. Kiungo wa zamani wa Chelsea Frank Lampard ametambulishwa rasmi kuwa kocha wa Derby Country kwa mkataba wa miaka 3. Hii inakuja baada...

Fred anaitaka United, Mwana FA kasema usije mjini

Nimesikia tetesi kuhusu Fred kujiunga na Man United. Awali ya hapo sikuwa namfuatilia sana ila nimewahi kumsikia sana. Nilishindwa kuwatofautisha kati yake na Malcom....

Kocha wa Arsenal awe makini sana na mtoto wa bosi

Stan Kreonke amezaliwa nchini Marekani katika familia ya mjasiramali. Akiwa na miaka kumi alianza kazi ya kufagia katika kiwanda cha mbao cha baba yake....

Shaffih Dauda anaamini Mikel Arteta anafaa kuwa mrithi wa Wenger

Taarifa ambazo zinazidi kuenea kuhusu kocha atakaevaaa viatu vya Arsene Wenger kuifundisha Arsenal zinamhusisha mchezaji wa zamani wa klabu hiyo Mikel Arteta ambaye kwa...

Madee baada ya kusikia Mikel Arteta atakuwa kocha mkuu Arsenal

Madee ni miongoni mwa mashabiki wa kutupwa wa Arsenal na mara kadhaa amekuwa akitoa maoni juu ya mwenendo wa klabu hiyo ikiwa ni pamoja...

Manchester United inavyopiga mkwanja na kutuachia somo VPL

Hivi karibuni umetoka mgawanyo wa mapato mbalimbali kwenye ligi kuu ya England, katika mgao huo pesa nyingi zimetokana na haki za matangazo ya television. Mgao...

Swansea 0-Southampton 1, timu nyingine Epl yashuka daraja

Kama ingekuwa bet baasi leo tungesema mkeka wa Mark Hughes umesoma, Manolo Gabbiadini ni kati ya washambuliaji ambao wanaonekana butu sana Southampton na tangia...

Southampton wawekewa sumu

Southmapton kwenye jaribio la mapinduzi. Mechi ya kufa na kupona ambapo itapigwa pale St Mary dhidi ya Swansea. Wikiendi hii Southampton aling’ang’aniwa na Everton...

Warithi wa Wenger hawa hapa

Massimillano Allegri Kwa sasa yupo klabuni Juventus akipigana vikumbo na klyabu ya Napoli katika harakati za kutwaa ubingwa wua Series A. Ni kocha mwenye mafaniukio...

Tusimnafikie Iniesta huku tunamkebehi Salah

Iniesta amemaliza na Barcelona. Yupo sahihi kabisa. Barcelona ipo hivyo. Wana fadhila lakini hawana huruma. Umri ukienda hata kama kiwango chako ni kikubwa lazima...

STORY KUBWA