HUYU NDIE MBABE WA AUBAMEYANG NA LEWANDOWSKI KWA KUTUPIA NYAVUNI
Lewandowski na Aubameyang wameshafunga magoli 13 hadi sasa na vichwa vya habari vinatawaliwa na majina yao hasa kuhusu Bundesliga. Sasa ukizungumzia kufumania nyavu bado...
CHICHARITO AMEPATA UTAWALA KWENYE FALME MPYA
Javier 'Chicharito' Hernandez aliondoka Manchester United na kujiunga na Bayer Leverkusen ambapo akiwa United hakua anacheza kila mechi kama sasa.
Hii inatokea mara nyingi mchezaji...
KINAWAKA NDANI YA VOLKSWAGEN ARENA
Jumamosi hii moja kati ya mechi zitakazofuatiliwa sana kwenye ligi ya Bundesliga ni kati ya VfL Wolfsburg Vs Bayern 04 Leverkusen. Timu zote hizi...