Ligi

Home Ligi

ADEBAYOR KAFANYA MAAMUZI MENGINE KUHUSU MAISHA YAKE YA SOKA

Striker wa zamani wa Tottenham Hotspur Emmanuel Adebayor amesema ataachana na klabu ya Crystal Palace baada mchezo wa fainali ya FA Cup mwishoni mwa...

KAMA WEWE NI SHABIKI WA BARCELONA, UJUMBE HUU WA DANI ALVES UNAKUHUSU SANA

Beki wa kulia wa Barcelona Dani Alves, ameitumikia klabu hiyo kwa takriban miaka nane na sasa anaondoka  rasmi msimu huu na anatarajia kujiunga na...

Video: Huyu ndio Fellipe Anderson – Mbrazil Ambaye Anatajwa Kuelekea Old Trafford

Hatimaye dirisha la usajili limefunguliwa rasmi barani ulaya na tetesi za usajili ndio habari kuu katika kurasa za michezo za magazeti mbali mbali...

BAYERN YAZIFUATA MADRID, CITY NA ATLETICO NUSU FAINALI CHAMPIONS LEAGUE

Bayern Munich imefuzu hatua ya nusu fainali ya Champions League kwa mara ya tano mfululizo baada ya kuitupa nje ya mashindano klabu ya Benfica...

JOE HART AINYIMA MADRID USHINDI

Joe Hart ameendelea kuipa matumaini Manchester City ya kufika hatua ya fainali ya Champions League kwa mara ya kwanza baada ya kuokoa michomo miwili...

TERRY KUWAKOSA LIVERPOOL IJUMAA

Nahodha wa Chelsea John Terry atakuwa nje kwa siku kumi bada ya kupata majeraga kwenye mguu wake wakati wa mchezo wa Ligi ya England...

MKUTANO MKUU TFF KUFANYIKA JIJINI TANGA

Mkutano Mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) uliokuwa ufanyike mwezi Disemba mwaka jana sasa utafanyika wikiendi hii Jumamosi na...

VAN PLUIJM AMLILIA JOHAN CRUYFF

Kocha mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm amemzungumzia gwiji wa soka wa Uholanzi na Barcelona Johah Cruyff kuwa ni mtu wa pekee kuwahi...

MAAMUZI MAPYA KUHUSU KESSY KUITUMIKIA YANGA

Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imelipitisha jina la mlinzi wa kulia wa Yanga Hassan Kessy Ramadhani kuitumikia klabu hiyo baada ya hapo...

Sanchez asema jiji la London lina stress sana

Alexis Sanchez amesema kwamba jiji la London lina stress sana akiwa kwenye wakati ambao kauli yake inaleta utata sana. Mchezaji huyu muhimu sana kwa...

STORY KUBWA