Ligi

Home Ligi

Utawala wa Barca katika Copa del Rey: Enrique na Messi wanaiwinda rekodi iliyodumu miaka...

FC Barcelona wanatengeneza rekodi katika kila msimu wa Copa Del Rey. Baada ya kuwaondoa Atletico Madrid katika nusu fainali jana usiku, timu hii sasa...

Hat-trick yampaisha Hilika Zanzabar

Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’,  Zanzibar Mshambuliaji wa Zimamoto Ibrahim Hamad Hilika jana amekuwa kinara kwa kucheka na nyavu baada ya kupiga Hat-trick timu yake iliposhinda...

Serie A Inapoamua Kuvamia Ligi Kuu Ya Uingereza.

Na Susy Campanale, Football Italia. Kama ulitizama michezo ya wikiendi hii ya ligi kuu Uingereza unaweza kusamehewa kama ulihisi ilikuwa ni upande wa pili wa...

Henry Amkingia Kifua Wenger.

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Arsenal, Thierry Henry amewaambia mashabiki wa Arsenal kuwa kocha wa klabu hiyo Arsene Wenger hatakiwi kuondoka klabuni hapo,...

Unatamani Kumsamehe Suarez? Isome Safari yake ya Upendo na Machozi.

Hii ni stori kuhusu mwanaume ambaye pengine ndiye straika bora zaidi duniani kwa sasa. Anaitwa Luis Suarez, yupo Barcelona na ni yeye huyu ambaye...

Almanusura Bill Gates Ainunue Liverpool.

Wakati klabu ya Liverpool ikiwa katika fomu mbovu kutokana na kutokupata ushindi katika mwezi januari kwenye ligi kuu ya Uingereza, Taarifa zinasema klabu hiyo...

Mtoto aandika Barua Kumwomba Marehemu Baba Yake, Aongee Na Mungu Mbinguni Liverpool ishinde.

Kabla ya mchezo wa Jumamosi dhidi ya Tottenham, Liverpool haikuwa imeata ushindi kwenye michezo ya ligi kuu ya Uingereza tangu mwaka 2017 uanze. Hii...

Timu yapigwa 8-0 ligi ya Zanzibar, Hilika kapiga hat-trick

Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Baada ya mchezo uliopita kuvaa jezi sare na timu ya Mundu, na kuzikosa alama zote 3 pamoja na kupigwa faini...

Mpira Utakaotumika kwenye hatua zinazofuata za UEFA Watangazwa.

Kuelekea kuanza kwa mechi za hatua ya mtoano, 16 bora ya klabu bingwa barani Ulaya, kampuni ya Adidas leo Jumatatu imetangaza toleo la mipira...

PICHA 20: WACHEZAJI WA YANGA WALIVYOSHEREKEA TAJI LAO LA VPL 2015-16

May 14, 2016 ni siku ambayo Yanga imekabidhiwa kombe la ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2015-16 baada ya kufanya vizuri kwenye...

STORY KUBWA