Ligi Kuu Bara

Home Ligi Kuu Bara Page 2

Kutana na Juma Mahadhi mzee wa SINGELI

Ebwana mara nyingi wachezaji wanapokuwa wanaelekea kwenye game huwa tunawaona wakiwa na earphones au headphones masikioni mwao wakisikiliza midundo ya ngoma kali. Ukipiganao story wanasema...

Abdi Kassim alisajiliwa kwa 3.5M na mshahara wa 150,000 kwa mwezi

Star wa zamani wa Mtibwa Sugar, Yanga pamoja na timu ya taifa Abdi Kassim 'Ballack wa Unguja' amesema wakati anasajiliwa na Mtibwa Sugar kutoka...

Azam yaduwazwa Mbeya

Tangu January 2019, Tanzania Prisons imepoteza mchezo mmoja tu (January 2, 2019-Lipuli 1-0 Tanzania Prisons) baada ya hapo wamecheza mechi 8 mfululizo bila kupoteza. Wametoka...

Alliance yatamba kulitikisa jiji la Mbeya, yatoa onyo kwa askari magereza

Klabu ya Alliance imesafiri kilometa 909 ambapo ni mwendo wa saa 15 na dakika 8 mpaka jiji la Mbeya kwa ajili ya mpambano wao...

Kakolanya kaomba kuondoka Yanga

Beno Kakolanya kupitia mwanasheria wake ameandika barua kwa uongozi wa Yanga akiomba kuvunja mkataba! Kaimu Mwenyekiti wa Yanga Samuel Lukumay amethibitisha kupokea barua kutoka kwa...

Mbeya City yafafanua mchezaji wake kufanya majaribio Misri

Uongozi wa Mbeya City umetoa ufafanuzi kuhusu mchezaji Eliud Ambokile ambaye kupitia mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti anakwenda Misri...

Boban atuliza presha Yanga

Taarifa kutoka Yanga zinasema mchezaji wao mpya Haruna Moshi 'Boban' atakuwepo katika orodha ya wachezaji watakaosafiri kwenda Mbeya kwa ajili ya mchezo wa ligi...

Kinachoitesa Yanga sio Ukata, ni tamaa na hela za Manji

Yanga waliishi miaka 11 kitajiri. Walikuwa wanakula pesa za Manji kama zao tu. Wakasahau mtegemea cha ndugu hufa masikini. Klabu iliendeshwa kwa fujo fujo...

Geoff Lea, Edgar Kibwana, wamchambua Boban

Baada ya Yanga kumsaini mkongwe Haruna Moshi 'Boban' kwa mtakaba wa miezi sita, wachambuzi wa masuala ya michezo Geoff Lea na Edgar Kibwana wametoa...

“Ingekuwa masumbwi Taifa Stars isingepangwa na Uganda”-Kiemba

Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars Amri Kiemba amesema ingekuwa ni mchezo wa masumbwi timu Taifa Stars isingepangwa na Uganda kwa sababu timu hizo...

Shaffih Dauda ampigia debe Coulibaly Simba

Baada ya ujio wa wachezaji watatu kufanya majaribo kwenye klabu ya Simba, kumekuwa na tetesi huenda beki Zana Coulibaly akaoneshwa mlango wa kutokea endapo...

Meneja Simba afungiwa ndani na nje

Kamati ya maadili ya TFF imemfungia meneja wa klabu ya Simba Richard Robert kutojihusisha na mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa...

“Wao ndo wenye presha, sio sisi”-Zahera Mwiyi

Kuelekea mechi ya watani wa jadi Yanga vs Simba Jumamosi ijayo February 16, 2019, kocha wa Yanga Zahera Mwinyi amesema timu yake inaendelea na...

Wawa katoboa siri Simba

Na Tima Sikilo BEKI wa Simba Pascal Wawa, amesema siri ya kuongezeka kwa kiwango chake ni mazoezi anayoyafanya kila siku bila kujali changamoto anazo kutana...

Zahera Mwinyi amaliza utata kuhusu Makambo

Kocha wa Yanga Zahera Mwinyi amefafanua kuhusu 'ishu' ya kutoweka kambini mshambuliaji wake Heritier Makambo kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya...

Mzee Dalali awatumia salam Yanga

Baada ya Simba kufanikiwa kutinga hatua ya makundi ya ligi ya vilabu bingwa Afrika, mwenyekiti wa zamani wa Simba Hassan Dalali amewatumia salamu watani...

Vilabu vya Prisons na Alliance vimetangaza vikosi vyao kuelekea mpambano wao

Kuelekea mchezo wa leo dhidi ya Tanzania Prisons katika uwanja wa Ccm Sokoine kuanzia sa 10:00 jioni, benchi la ufundi limeweka bayana kikosi kamili.1/Said-...

Mbao FC inaongoza ligi nini kipo nyuma ya pazia?

Klabu ya Mbao FC ya jijini Mwanza kwa ndio inaongoza ligi kwa sasa ikiwa na pointi saba (7) baada ya kucheza mechi tatu na...

Wachezaji wenye RASTA wana vitu gani vya kipekee?

Kwenye kikosi cha Yanga kwa sasa kuna wachezaji wanne waliotengeneza nywele zao kwa mtindo wa #Rasta (Kamusoko, Tshishimbi, Jafary na Boban). . Marasta wengi wanaocheza mpira...

Zahera Mwinyi kuchangia Yanga nauli ya ndege

Kocha mkuu wa Yanga Zahera Mwinyi yupo tayari kuongezea kiasi cha pesa kitakachopungua baada ya mashabiki na wadau wa timu hiyo kuichangia timu yao...
473,565FansLike
169,928FollowersFollow
72,120FollowersFollow