Ligi Kuu Bara

Home Ligi Kuu Bara

Eneo gani uwanjani litaamua mechi ya watani wa jadi?

Shaffih Dauda Naiona mechi ikiamuliwa katikati ya uwanja (eneo la midfield) Simba ni timu inayicheza mpira kuanzia nyuma wanapiga pasi na kutawala eneo la katikati. Changamoto...

Geoff Lea anaiangalia Yanga kwa jicho la tatu

Ni vigumu sana kwa mtu anayeangalia mpira na kuufuatilia halafu haendeshwi na hisia anaweza kuipa kuipa nafasi kubwa Yanga kushinda mechi dhidi ya Simba...

Yanga inaingia kama UNDERDOG

Ukiangalia Simba kwa upande wa squad, mwendelezo wa matokeo lakini pia mazingira kuelekea kwenye mechi Simba wametoka kwenye mazingira ambayo inawezekana ikawa ni faida...

#YangaVsSimba ni vita ya NIKKI WAPILI VS JOH MAKINI

Mechi ya watani wa jadi #YangaVsSimba huwa inaigawa familia ya wasanii wanaounda kundi la #Weusi Joh Makini na Nikki Wapili. Joh Makini amefata upande wa...

Stamina anakwambia Simba wanakula 5

Kumbe mkali wa BongoFleva Stamina ni Yanga wa kulialia lakini wakati anacheza soka aliwahi kucheza na Mkude na Kichuya ambao baadaye walijiunga na Simba. Stamina...

“Wao ndo wenye presha, sio sisi”-Zahera Mwiyi

Kuelekea mechi ya watani wa jadi Yanga vs Simba Jumamosi ijayo February 16, 2019, kocha wa Yanga Zahera Mwinyi amesema timu yake inaendelea na...

KIOJA LIGI KUU! Mchezaji apoteza fahamu uwanjani hakuna AMBULANCE

Bado hali ya usalama viwanjani inaonekana si shwari au hauzingatiwi, inawezekana wakati huu tungekuwa tunaongea habari nyingine baada ya kukosekana kwa gari maalum la...

Makambo OUT JKT Tanzania vs Yanga

Kuelekea mchezo wa ligi kuu Tanzania bara JKT Tanzania vs Yanga kwenye uwanja wa Mkwakwani Tanga, Yanga itamkosa mshambuliaji wake Heritier Makambo ambaye atakuwa...

Kocha Alliance aitolea macho KMC, ampongeza Ndayiragije

Kocha wa Allince FC Malale Hamsini amesema hadi sasa kikosi chake kipo vizuri huku akisema mchezo dhidi ya KMC utakuwa na ushindani zaidi. Malale pia...

Mambo 5 aliyozungumza Ndayiragije, awapa tuzo mashabiki

KMC inawaalika Alliance FC kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara utakaochezwa uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Kuelekea mchezo huo, kocha mkuu wa KMC...

Dar City yamkomalia mchezaji Yanga

Mchezaji Gustapha Saimon Lunkombi ambaye usajili wake umezua utata baada ya kuitumikia Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Singida United,...

Yanga mechi 3 imeambulia pointi 2

Yanga imecheza mechi tatu za ligi kuu bila kupata ushindi, tangu ilipopoteza kwa mara ya kwanza mchezo wa ligi kwa kufungwa 1-0 na Stand...

Ninja wa Yanga aitwa TFF kusikiliza kesi inayomkabili

Herman Julius kwa niaba ya Katibu Mkuu wa TFF, amemwadikia barua mchezaji wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' akimtaka afike ofisi za TFF kwa ajili...

Singida yaichezea Yanga mchezo mchafu

Ianaelezwa kuna mchezo unafanyika kwenye ishu ya Singida kuwatumia wachezaji na kocha msaidizi ambao hawajalipa faini ambayo ni adhabu waliyopewa na Kamati ya saa...

Yanga, Singida, zapambania pointi mezani

Uongozi wa Singida United umewasilisha malalamiko Bodi ya Ligi kupinga Yanga kumchezesha mshambuliaji wao chipukizi Gustava Simon (aliyevaa jezi namba 30) kwa madai kwamba...

Ali Kiba alia na mwamuzi #CoastalVsYanga

Star wa BongoFleva na mshambuliaji wa Coastal Union Ali Kiba amesema waamuzi waliochezesha #CoastalVsYanga timu yao ilionewa na waamuzi. "Uonevu ulikuwa LIVE yani"-Ali Kiba. Kocha wa...

TFF kuhusu udhamini #LigiKuuTanzaniaBara

Rais wa TFF Wallace Karia kupitia hotuba yake kwenye Mkutano Mkuu wa TFF 2019 amesema bado wapo katika mkakati wa kutafuta mdhamini wa ligi...

Kakolanya kaomba kuondoka Yanga

Beno Kakolanya kupitia mwanasheria wake ameandika barua kwa uongozi wa Yanga akiomba kuvunja mkataba! Kaimu Mwenyekiti wa Yanga Samuel Lukumay amethibitisha kupokea barua kutoka kwa...

Kwa nini ushindani umeshuka kwenye ligi yetu?

Baada ya timu zetu za Tanzania (Simba, Yanga, Singida United na Mbao FC) kushindwa kufika fainali ya SportPesa Cup wadau wengi wanasema huenda ligi...

Nikki wa Pili kalibutua BAKULI la Yanga

Mkali wa BongoFleva Nikki wa Pili kutoka kundi la #WEUSI ameponda utaratibu unaotumiwa na klabu ya Yanga kuchangisha mashabiki kwa style ya #BAKULI uwanjani...
473,565FansLike
169,928FollowersFollow
72,120FollowersFollow