Ligi Kuu Bara

Home Ligi Kuu Bara

Zahera afunguka baada ya kuonja machungu ya msimu

Kocha mkuu wa Yanga Zahera Mwinyi baada ya Stand United kuwa timu ya kwanza kuifunga Yanga msimu huu amesema hajaona kitu cha ajabu kilichofanywa...

Ubora wa KMC unaanzia kwa kocha!

Ubora na ushindani wa KMC unaanzia kwa kocha wa timu hiyo Ettiene Ndayiragije raia wa Burundi ambaye anaiongoza timu yake vizuri licha ya kuwa...

Kinachoitesa Yanga sio Ukata, ni tamaa na hela za Manji

Yanga waliishi miaka 11 kitajiri. Walikuwa wanakula pesa za Manji kama zao tu. Wakasahau mtegemea cha ndugu hufa masikini. Klabu iliendeshwa kwa fujo fujo...

Mbeya City yafafanua mchezaji wake kufanya majaribio Misri

Uongozi wa Mbeya City umetoa ufafanuzi kuhusu mchezaji Eliud Ambokile ambaye kupitia mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti anakwenda Misri...

Kocha wa Biashara apongeza wa Stand aponda waamuzi

Biashara United imeendeleza ushindi kwenye uwanja wak wa nyumbani (Karume, Musoma) kwa kuifunga Stand United bao 1-0 kupitia Waziri Junior. Kocha wa Biashara Amri Said...

Maxime apokea kipigo kwa mikono miwili

Kocha wa Kagera Sugar Mecky Maxime amesema wamepoteza mchezo (3-2) dhidi ya African Lyon kwa sababu walifanya makosa mengi. "Mechi ilikuwa ngumu lakini tumepoteza kutokana...

Wakongwe waibeba African Lyon

African Lyon imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliohezwa uwanja wa Uhuru. Kocha msaidizi...

Masau Bwire aivimbia Azam

Afisa habari wa Ruvu Shooting Masau Bwire amesema uwezo wa Azam uliooneshwa kwenye mchezo wa leo ni mdogo na kusema kama timu yake ingepata...

Azam yapigwa ‘pin’ Mlandizi

Azam imelazimishwa suluhu na Ruvu Shooting kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kwenyeuwanja wa Mabaini, Mlandizi-Pwani. Kocha msaidizi wa Azam Juma Mwambusi amesema hali...

Ibrahim Ajibu vs Zahera Mwinyi

Kuna wakati kocha wa Yanga Zahera Mwinyi aliwahi kumponda Ibrahim Ajibu mbele ya waandishi wa habari, watu wakalalamika sana wakidai haikuwa jambo sahihi kocha...

“Hakuna mchezaji ANAYENINYIMA USINGIZI Yanga”-Zahera

Kwenye mchezo wa lii kuu Tanzania bara jana January 15, 2019 Yanga ilimkosa mshambuliaji wake Heritier Makambo ambaye alikuwa kwao Congo DR, lakini kocha...

Zahera ampa mbinu Ajibu kurudi Taifa Stars

Mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa leo January 15, 2019 kati ya Yanga dhidi ya Mwadui, umemtambulisha rasmi Ibrahim Ajibu kama nahodha rasmi...

Zahera Mwinyi amaliza utata kuhusu Makambo

Kocha wa Yanga Zahera Mwinyi amefafanua kuhusu 'ishu' ya kutoweka kambini mshambuliaji wake Heritier Makambo kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya...

Nani wa KUIZUIA Yanga?

Yanga imeshinda mechi ya 17 kati ya mechi 19 ilizocheza za ligi kuu Tanzania bara msimu huu. Ushindi wa 3-1 dhidi ya Mwadui unaendelea...

Abdi Kassim alisajiliwa kwa 3.5M na mshahara wa 150,000 kwa mwezi

Star wa zamani wa Mtibwa Sugar, Yanga pamoja na timu ya taifa Abdi Kassim 'Ballack wa Unguja' amesema wakati anasajiliwa na Mtibwa Sugar kutoka...

Wachezaji wenye RASTA wana vitu gani vya kipekee?

Kwenye kikosi cha Yanga kwa sasa kuna wachezaji wanne waliotengeneza nywele zao kwa mtindo wa #Rasta (Kamusoko, Tshishimbi, Jafary na Boban). . Marasta wengi wanaocheza mpira...

Kutana na Juma Mahadhi mzee wa SINGELI

Ebwana mara nyingi wachezaji wanapokuwa wanaelekea kwenye game huwa tunawaona wakiwa na earphones au headphones masikioni mwao wakisikiliza midundo ya ngoma kali. Ukipiganao story wanasema...

Simba inaendekea kurundika vipolo ligi kuu

Mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura amethibitisha kusogezwa mbele mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Lipuli FC dhidi ya Simba...

Makambo atoweka Yanga

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Yanga Heritier Makambo ametoweka katika klabu hiyo bila uongozi kuwa na taarifa yeyote. Kwa mujibu wa taarifa ambazo Daboten...

Star wa NDONDO CUP anafanya majaribio South Africa

Ukimuuliza Kelvin Sabato 'Kiduku' Kongwe (jezi namba 7 pichani) kuhusu safari yake ya soka lazima ataitaja Ndondo Cup. Ndio, ukipata fursa hiyo muulize ametokea...
473,164FansLike
134,804FollowersFollow
70,079FollowersFollow