Thursday, September 20, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

Congo Brazzaville wakatisha ndoto ya Serengeti Boys

Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys imeshindwa kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika nchini Madagascar mwaka 2017 baada...

Rekodi ya Yanga SC ndani ya miaka 10 ikicheza nyumbani/ugenini michuano ya Caf

Na Baraka Mbolembole Wawakili waTanzania Bara katika michuano ya ligi ya mabingwa Afrika, timu ya Yanga SC Jumamosi hii watakuwa na kibarua kigumu kuhakikisha wanaishinda...

KCCA YATINGA ROBO FAINALI

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam BAO pekee la mshambuliaji lililofungwa na mshambuliaji Ivan Sserunkuma limetosha kuipeleka KCC robo fainali ya michuano ya Kombe la...

TP – MAZEMBE INAVYOFAIDIKA NA UWEKEZAJI WA MOISE KATUMBI

Kitu kingine kikubwa ambacho Samatta amekieleza katika safari yake ni pamoja na namna ambavyo klabu ya TP Mazembe inavyonufaika na uwekezaji mkubwa wa bilionea...

MKUDE AZIPA TANO MBINU ZA KOPUNOVIC

KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Gerrard Mkude amesema kutwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi ni mwanzo mzuri wa kufanya vizuri katika mechi za ligi...

MKUDE KUTIMKIA AFRIKA KUSINI…WAKATI WACHEZAJI WA STARS WANARIPOTI KAMBINI LEO

Wakati wachezaji walioitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ wanakutana leo kwenye hotel ya Tansoma kuzungumza na kocha wao mpya, kiungo wa...

Kavumbagu azidi kung’a Azam ikiichapa JKT Ruvu, George Best avaa vyema viatu vya...

Na, Richard Bakana, Dar es Salaam  Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania bara Azam FC, leo wamefanikiwa kuibuka na pointi tatu muhimu katika mchezo...

CANNAVARO: ALGERIA WAKAWAIDA TU…

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amesema, wao kama wachezaji walijitahidi sana kwenye mchezo wa jana dhidi ya...

JAMAL MALINZI AWASHANGAA WANAOCHEKA TFF KUDAIWA MADENI

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam RAIS wa Shirikisho la soka Tanzania bara, TFF, Jamal Emil Malinzi amewashangaa watu wanaoshangilia shirikisho hilo kudaiwa madeni na...

Azam kambini Juni 15 kuliwinda Kombe la Kagame

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam 'Azam FC itaiwakilisha Tanzania katika michuano hiyo inayofanyika Dar es Salaam mwaka huu ikiwa ni bingwa wa Tanzania Bara...

STORY KUBWA