Monday, September 24, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

MKWASA: HATUKUINGIA ‘KICHWAKICHWA’ MECHI DHIDI YA NIGERIA

Baada ya mchezo kumalizika kati ya Stars dhidi ya Nigeria, kocha mkuu wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa amesema hawakuingia kichwakichwa kwenye mechi hiyo...

MALINZI BADO AENDELEA KULIOTA KOMBE LA DUNIA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Jamal Malinzi ameendelea kusisitiza kwamba Tanzania itashiriki michuano ya kombe la dunia miaka ijayo kutokana na...

YANGA : KASEJA YUPO HURU KUCHEZA SEHEMU YOYOTE

Ungozi wa klabu ya Yanga umesema hauna tatizo na golikipa Juma Kaseja endapo atataka kujiunga na timu nyingine yoyote ambayo ipo tayari kumsajili kwa...

EXCLUSIVE: TFF YASAINI ‘DILI’ LA NGUVU KWA AJILI YA LIGI MSIMU UJAO

Shrikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesaini mkataba mpya wa miaka mitatu (3) wa udhamini wa ligi kuu Tanzania bara kuanzia msimu ujao...

Ndanda wamsainisha mkataba mchezaji bila kipengele cha mshahara, waamuriwa kumlipa mara moja!

Klabu ya Ndanda SC imeamuriwa kumlipa mchezaji Amiri S. Msumi kiasi cha fedha sh. 2,600,000.  Pia Kamati ilihoji mkataba kutokuwa na kipengele cha mshahara, na...

SIMBA YAANGUKIA PUA ZENJI, YAKUBALI KIPIGO SAAAFI…

'Wekundu wa Msimbazi' Simba leo imekubali kipigo cha goli 2-0 kutoka kwa JKU ya Zanzibar kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Amaan...

AZAM, MWADUI KUJIPIMA UBAVU LEO CHAMAZI

Kikosi cha Mwadui FC leo kinajitupa uwanjani kuwakabili mabingwa wa kombe la Kagame ‘wanalambalamba’ Azam FC ikiwa ni siku mbili baada ya kuikomalia timu...

Tanzania kuivaa Kenya kesho jumamosi

TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Soka la Ufukweni (Beach Soccer) kesho jumamosi itacheza mchezo wa marudiano dhidi ya timu ya Taifa ya Kenya,...

MBWEMBWE: “FARU LAZIMA ICHUKUE NDONDO CUP 2015”

Kocha wa Faru Jeuri Supiya Mbwembwe ambaye pia golikipa wa zamani wa Simba SC amesema ubingwa wa Ndondo Cup msimu huu lazima auchukue kutokana...

AZAM WAINGIA KWA TAHADHARI KUWAVAA STAND UNITED LEO

MABINGWA watetezi wa ligi kuu soka Tanzania bara, Azam fc wanaingia kwa tahadhari kubwa katika mechi ya leo ya ligi kuu itayopigwa uwanja wa...

STORY KUBWA