Friday, September 21, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

BEACH SOCCER YAZINDULIWA RASMI

Michuano ya mpira wa miguu ya ufukweni (Beach Soccer) inazinduliwa rasmi kesho (Aprili 27 mwaka huu) kwenye ufukwe wa Escape One uliopo Mikocheni, Dar...

NGORONGORO HEROES, KENYA UWANJANI DAR

Timu ya vijana ya Tanzania (Ngorongoro Heroes) na Kenya zinapambana kesho (Aprili 27 mwaka huu) katika mechi ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye...

MHOLANZI AKABIDHIWA MIKOBA TAIFA STARS

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza rasmi Mart Nooij kutoka Uholanzi kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya Taifa (Taifa Stars). Rais wa...

MWAMBUSI: KOCHA BORA LAZIMA AJIAMINI NA KUSHIKILIA FALSAFA YAKE

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KOCHA wa Mbeya City fc, Juma Mwambusi amesema kuwa kuwaamini vijana katika klabu kunahitaji kuwapa muda ili kufikia malengo. Mwambusi...

KUNUSURIKA KUPOROMOKA DARAJA KWAWAPA SOMO PRISONS

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MAAFANDE wa Tanzania Prisons `Wajelajela` wanasubiri kwa hamu kubwa ripoti ya kocha wao, David Mwamwaja ili waanze kuandaa mikakati...

COASTAL UNION MOTO WAZIDI KUWAKA, AFISA HABARI ABWAGA MANYANGA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam AFISA habari wa klabu ya Coastal Union, Hafidh Kido ametangaza kubwaga manyanga kutokana na migogoro inayoendelea katika klabu hiyo. Akiongea...

KENYA YAWASILI KUIVAA NGORONGORO HEROES

Timu ya vijana ya Kenya inatarajiwa kuwasili nchini leo (Aprili 25 mwaka huu) saa 1 usiku tayari kwa ajili ya mechi dhidi ya Tanzania...

TAIFA STARS, BURUNDI ZAAHIDI SOKA MARIDADI

Makocha wa timu za Taifa za Tanzania (Taifa Stars) na Burundi (Intamba Mu Rugamba), Salum Mayanga na mwenzake Niyungeko Alain Olivier wameahidi burudani ya...

AZAM YAIBANA CECAFA KUSHIRIKI MICHUANO MIPYA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam BARAZA la vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limeanzisha mashindano mapya ya klabu ambayo yatakuwa yanashirikisha mabingwa...

MKENYA OGWAYO KUCHEZESHA STARS, BURUNDI, KOCHA MPYA STARS KUTUA JUMAMOSI

Mwamuzi Anthony Ogwayo mwenye beji ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kutoka Kenya ndiye atakayechezesha mechi kati ya Tanzania (Taifa Stars)...

STORY KUBWA