Thursday, September 20, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

PICHA 7: YANGA, TP MAZEMBE, ZILIVYOMALIZA MAZOEZI YAO TAYARI KUCHUANA JUNE 28

Yanga na Mazembe zilivyopasha taifa leo, Yanga walianza asubuhi saa tano na Mazembe jioni majira ya saa kumi jioni. Yanga itakuwa mweji kwenye mchezo wa...

Sentensi ya Manara baada ya ushindi wa Yanga vs Toto

Waswahili wanamsemo wao usemao 'asiyekubali kushindwa si mshindani' kauli hii inathibitishwa na Haji Manara msemaji wa Simba anaetumikia kifungo cha mwaka mmoja kujihusisha na...

SHEREHE YA WANABLOG TANZANIA YAFANA

BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limekubali kuanza ushirikiano na uhusiano mzuri na Chama cha Bloggers Tanzania (TBN) mara kitakapo maliza mchakato wa usajili wake...

EXCLUSIVE : NIMEONGEA NA MSUVA AKIWA SOUTH AFRICA…HAYUPO ORLANDO PIRATES….JIBU NA PICHA ZIKO HAPA

Jana habari mbalimbali za Msuva kusepa kwenda kufanya majaribio ya kucheza na soka huko South Africa zilisambaa sana. Kutoka kwenye vyanzo vyangu nililiripotu kama...

Kikosi cha Mbao kinabomoka, viongozi wanajuta

Na Zainabu Rajabu UONGOZI wa klabu ya Mbao umelazimika kuanza upya kukisuka kikosi chao mara baada ya nyota wake muhimu wote wa kikosi cha kwanza...

Prisons walia na TFF kipigo cha Yanga (3-0)

Kocha wa Tanzania Prisons, David Mwamaja, akiongea na waandishi wa habari. Na. Richard Bakana. Dar es salaam Kocha mkuu wa Tanzania Prisons David Mwamaja, ameonyesha kutoridhishwa...

Bodi ya ligi yatoa angalizo dirisha la usajili VPL

BODI ya ligi kuu Tanzania bara (TPLB) imezitaka klabu za ligi kuu na ligi daraja la kwanza kuendana na kalenda ya usajili ambao mara...

Kocha wa African Lyon kafunguka baada ya kupata ushindi wa kwanza 2017

Baada ya kucheza bila kupata matokeo ya ushindi, hatimaye African Lyon wamepata ushindi wao wa kwanza ndani ya mwaka 2017 kwa kuifunga timu ya...

KOCHA WA NDANDA ALIA NA MWAMUZI…

Baaya mchezo kati ya ‘wanalizombe’ Majimaji ya mjini Songea dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara, kocha wa Ndanda FC Hamimu Mawaza amemlalamikia mwamuzi wa...

TFF imemfungulia mashtaka Haji Manara leo April 21, 2017

April 19, 2017 uongozi wa Simba kupitia kwa afisa habari wake Haji Manara uliotoa msimamo wao kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu klabu ya Simba dhidi...

STORY KUBWA