Friday, September 21, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

TFF, VODACOMA KUFUNGA ‘NDOA’ NYINGINE LEO MLIMANI CITY

Kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom imekubali kuongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuidhamini Ligi Kuu Tanzania Bara. Vodacom imeishakubaliana kimsingi na TFF na...

Kipa Mbeya City ajuta kuchelewa kujiunga nao

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam KIPA wa Mbeya City FC, Haningtony Kalyesabula, amesema amefurahishwa na matokeo aliyoyapata msimu huu akiwa na kikosi hicho. Muda mfupi...

AVEVA AUNDA BARAZA LA WAZEE SIMBA

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam "Kwa muda mrefu Simba haikuwa na Baraza la Wazee wa klabu huku watani wao wa jadi, Yanga wakilitumia la...

TENGA ASEMA SERIKALI IWEKEZE KIKAMILIFU KWENYE MICHEZO

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam 'Tenga ameliongoza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa mafanikio makubwa akiwa Rais wa shirikisho hilo anayesifika kwa utawala bora.' MWENYEKITI...

MBEYA CITY YAMPONZA MINGANGE, ASHINDWA KUPIGA KURA

 Kocha anaekinoa kikosi cha Mbeya City Meja mstaafu Abdul Mingange ameshindwa kuitumia haki yake ya kikatiba ya kupiga kura kuchagua viongozi anaowataka kutokana na...

Wakati Yanga wakihangaika kusajili, Coutinho yeye anakula bata na familia yake!

KOCHA mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van der Pluijm atarejea nchini juni sita mwaka huu na kuanza kukinoa kikosi chake kwa ajili ya michuano...

WAAMUZI WA KAGAME KUPIGWA ‘MSASA’ KESHO

Baraza la Vyama Vya Soka kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kesho Alhamisi Julai 16, litaendesha mtihani wa utimamu wa mwili (Physical...

BUNGE LASEMA PESA ZA USAJILI ZA WACHEZAJI ZIKATWE KODI

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Saidi Mohamed Mtanda, amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania...

Azam acheni kuzuga kocha wenu ni Stewart Hall

AZAM FC wanasuasua kumtangaza rasmi Muingereza Stewart John Hall kuchua nafasi ya kocha aliyeachishwa kazi, Mcameroon, Joseph Marius Omog. Stewart na Azam kimsingi wamemalizana, kilichobaki...

STORY KUBWA