Monday, September 24, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

OFFICIAL: DIDIER KAVUMBAGU ASAINI AZAM FC MWAKA MMOJA

Mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya Dar Young African Didier Kavumbagu amesaini kuichezea klabu bingwa ya Tanzania bara Azam FC. Taarifa...

MALAWI KUWASILI MEI 1 KUIVAA STARS

Timu ya Taifa ya Malawi (Flames) inatarajiwa kuwasili nchini Mei 1 mwaka huu kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa...

MATOGOLO WA MBEYA CITY AFUNGUA MILANGO KWA AZAM, SIMBA, YANGA….

Antony Matogolo mwenye jezi namba 16 mgongoni wakati wa mechi yao na Azam fc uwanja wa sokoine jijini Mbeya Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KIUNGO...

MINZIRO ATOA MBINU ZA MAFANIKIO KWA WANANDINGA, MAKOCHA BONGO

Kocha mkuu wa JKT Ruvu, Fredy Felix Minziro (wa kwanza kushoto)  Taifa Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KOCHA wa JKT Ruvu ya mkoani Pwani, Fredy...

KOCHA YANGA: HAKUNA MAPENZI YA SOKA TANZANIA, VIJANA WAWE MAKINI KUWAKOSHA MASHABIKI

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KOCHA msaidizi wa Yanga Sc, Charles Boniface Mkwasa `Master` amewashauri mashabiki wa soka nchini kuzipenda timu zao kwa wakati...

KIBADENI AKERWA NA UZEMBE WA WACHEZAJI LIGI KUU

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KOCHA mkongwe na mchezaji machachari wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania na sasa Ashanti United,...

TIMU 72 KUSHIRIKI ESTER CUP 2014, BINGWA KUZOA MILIONI 1.5

Mbunge wa Viti Maalum kwa vijana kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ester Bulaya akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mashindano ya...

MWASYIKA NA `MWAROBAINI` KWA MAKINDA SOKA LA BONGO

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam BEKI wa kushoto wa zamani wa Yanga SC, timu ya taifa ya Tanzania, Taifa stars na sasa maafande wa...

KOCHA COASTAL KUSAJILI `MAFOWADI` WALIOPANDA HEWANI

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KOCHA mkuu wa Wagosi wa kaya, Coastal Union, Mkenya, Yusuf Chipo amesema mpira wa miguu ni mchezo wa ajabu...

TAIFA STARS YACHAPWA 3-0 NA BURUNDI

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa stars imechapwa mabao 3-0 dhidi ya Burundi katika mechi ya kirafiki ya kuadhimisha miaka 50 ya muungano,  uwanja...

STORY KUBWA