Saturday, September 22, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

Cairo wabeba kombe Tanzania wakiwa mashabiki tu kwenye ardhi yao

Timu ya Cairo kutoka Misri imefanikiwa kutetea taji lake la ubingwa wa mpira wa kikapu wa michuano ya majiji ya Afika Mashariki na Kati...

JULIO ATAHADHARISHWA UWANJA WA MKWAKWANI…

Kikosi cha wachimba madini cha Mwadui FC leo kinasafiri kuelekea jijini Tanga kwa ajili ya kuwakabili ‘wagosi wa kaya’ Coastal Union siku ya Juamamosi...

JULIO KAMA KAWAIDA YAKE, HIKI NDICHO ALICHOKISEMA KUHUSU MSENEGAL WA SIMBA…

Kocha wa Mwadui FC Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema wachezaji wengi wengi wa kigeni wanaokuja kucheza soka la kulipwa Tanzania wanauwezo wa kawaida ukilinganisha na...

AZAM YAPELEKA KOMBE LA KAGAME IKULU

Jana wachezaji na baadhi ya viongozi wa Azam FC walialikwa Ikulu kwa ajili ya kwenda kumuonesha kombe la vilabu bingwa Afrika Mashariki na Kati...

Mpira ukiisha maradhi lazima yaanze

Na George Mganga, Kijana mdogo  wa miaka 20,21 au 22 unasajiliwa kwa kitita cha milioni 50, mshahara wa 2 au 1.5 milioni katika mkataba wa...

SPUTANZA YAIVALIA NJUGA YANGA KUHUSU KASEJA

Chama cha Wacheza soka Tanzania SPUTANZA, kimewasilisha barua kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kulitaka limtangaze mlinda mlango Juma Kaseja kuwa ni...

TWIGA STARS USO KWA USO NA IVORY COAST, NIGERIA ALL AFRICAN GAMES 2015

DROO ya michuano ya  All African Games  2015  imefanyika leo Julai 9 mwaka huu makao makuu ya CAF, Mjini Cairo, Misri. Droo zote za mashindano...

Madagascar watinga robo fainali Cosafa, sasa uso kwa uso na Ghana

MADAGASCAR imetinga robo fainali ya Cosafa baada ya kufanikiwa kumaliza vinara wa kundi B wakiipiku Swaziland kwa idadi nzuri ya magoli ya kufunga na...

TFF, VODACOMA KUFUNGA ‘NDOA’ NYINGINE LEO MLIMANI CITY

Kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom imekubali kuongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuidhamini Ligi Kuu Tanzania Bara. Vodacom imeishakubaliana kimsingi na TFF na...

KAMA HUFAHAMU WALICHOFANYA AZAM HUKO ZENJI, PITA HAPA…

Wakijiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii utakaochezwa Agosti 22 mwaka huu uwanja wa Taifa  dhidi ya Yanga, Azam FC jana usiku wamecheza mechi...

STORY KUBWA