Wednesday, September 26, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

POLISI MORO YAWATOSA WACHOVU KUTOKA SIMBA, YANGA, AZAM FC, YATAKA DAMU CHANGA

Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam MAAFANDE wa Polisi Morogoro wanahitaji kusajili wachezaji vijana ili kuendana na kasi ya ligi kuu soka Tanzania bara msimu...

`MESSI`, MKUDE NGOMA MPAKA 2017 SIMBA, KAMA TIMU INATAKA SAINI ZAO YAKARIBISHWA NA POPPE...

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KAMATI ya usajili ya klabu ya Simba SC inatarajia kukutana jumatatu ya wiki ijayo kujadili ripoti ya kocha mkuu,...

TEGETE: SIBANDUKI YANGA, DOMAYO, KAVUMBAGU WASIWANYIME WATU USINGIZI

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MSHAMBULIAJI wa Yanga SC, Jeryson John Tegete amesema kuwa ataendelea kuitumikia klabu hiyo msimu mpya wa ligi kuu soka...

MREFA YAHIMIZA MASHABIKI KUISHANGILIA TAIFA STARS, UWANJA KAMILI GADO ASILIMIA 95

Na Baraka Mpenja, Dar e salaam CHAMA cha soka Mkoani Mbeya, MREFA kimewaomba mashabiki wa soka mkoani humo kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu ya taifa...

KUONDOKA DOMAYO, KAVUMBAGU KWATIA CHUMVI KIDONDA CHA BILIONEA DAVIS MOSHA, AUSHUKIA VIKALI UONGOZI WA...

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 MAKAMU mwenyekiti wa zamani wa Yanga sc, Bilionea, Davis Mosha ameushutumu uongozi wa sasa wa klabu hiyo kushindwa kuwabakiza...

DANIEL STURRIDGE HATARINI KUWAKOSA CRYSTAL PALACE

BRENDAN Rodgers bado anasubiria mshambuliaji wake Daniel Sturridge awe fiti tayari kwa safari ya kuwafuata Crystal Palace katika mchezo muhimu wa ligi kuu nchini...

KUPOROMOKA VIWANGO, NIDHAMU MBOVU YAWAENGUA SITA RUVU SHOOTING

Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam KOCHA wa Ruvu Shooting ya Pwani, Mkenya Tom Alex Olaba amewatema wachezaji sita (6) katika kikosi chake na kuagiza...

DEUS KASEKE WA MBEYA CITY FC AMKARIBISHA LOGARUSIC WA SIMBA

Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam KIUNGO mshambuliaji wa Mbeya City fc, Deus Kaseke amefungua milango kwa klabu yoyote inayotaka kumsajili kwa masharti ya kumlipa...

MALAWI YAWASILI KUIKABILI TAIFA STARS, KIINGILIO BUKU 5 TU

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WAPENZI wa soka jijini Mbeya wanatarajia kuishuhudia timu yao ya taifa ya Tanzania, Taifa stars kwenye uwanja wa kumbukumbu...

CHAMBUA ASEMA DOMAYO, SURE BOY WATATISHA SAFU YA KIUNGO AZAM

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga SC, Tukuyu Stars na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa stars, Seklojo Johnson Chambua...

STORY KUBWA