Saturday, September 22, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

TANZANIA U15 YAZIDI KUCHACHAFYA AYG

Tanzania inaendelea kufanya vizuri kwenye Michezo ya Afrika kwa Vijana (AYG) kwa upande wa mpira wa miguu kwa vijana wenye umri chini ya miaka...

NAHODHA TAIFA STARS AFUNGUKA BONGE LA USHAURI KWA WACHEZAJI KUELEKEA HARARE

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam NAHODHA wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Shadrack John Nsajigwa Mwandemele...

HENRY JOSEPH: SIJAPATA MCHAKATO WOWOTE MPAKA SASA, IKITOKEA POPOTE NITACHEZA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KIUNGO mahiri aliyeichezea Simba sc msimu uliopita, Henry Joseph Shindika amesema bado hajazungumza na timu yoyote mpaka sasa kueleka...

WACHEZAJI WAKONGWE WAWEKEWA BONGE LA KIZINGITI STAND UNITED YA SHINYANGA

Stand United waliovalia jezi za rangi na machungwa Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KUELEKEA msimu mpya wa ligi kuu soka Tanzania, timu mpya iliyopanda daraja,...

MGAMBO JKT WAOGOPA YALIYOWAKUTA MSIMU ULIOPITA, WAINGIA WINDO MAPEMAAA!

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam BAADA ya kunusurika kushuka daraja msimu uliopita, maafande wa Mgambo JKT kutoka jijini Tanga wanatarajia kuanza kambi yao juni...

TANZANIA U15 YAANZA KWA SARE MICHEZO YA AYG

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Tanzania imeanza Michezo ya Afrika kwa Vijana (AYG) inayofanyika nchini Botswana kwa kutoka sare ya bao 1-1 na Mali...

MAMBO SASA YAKAA SAWA! MBEYA CITY YAENDA SUDAN

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Timu ya Mbeya City inaondoka leo usiku (Mei 22 mwaka huu) kwenda Sudan kushiriki michuano ya Kombe la Nile...

BBALL KITAA KUANZA WIKIENDI

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=6qAS0ogqBf8] Msimu mpya wa mashindano ya mpira wa kikapu yajulikanayo kama BBALL KITAA unatarajia kuanza May 25 mwaka huu. Mratibu wa mashindano hayo yatakayofanyika katika...

BREAKING NEWZZZZ! WAGONGA NYUNDO MBEYA CITY FC KUKWEA PIPA KUELEKEA SUDAN

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam HATIMAYE safari ya Mbeya City fc kwenda kushiriki michuano mipya ya CECAFA Nile Basin Cup nchini Sudan imekamilika baada...

TAIFA STARS YAWASILI MBEYA KULA KIPUPWE CHA TUKUYU KUWAWINDA ZIMBABWE

Na Baraka Mpenja TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa stars imewasili Mjini Tukuyu jijini Mbeya tayari kwa kuweka kambi ya kujiwinda na mchezo wa marudiano...

STORY KUBWA