Tuesday, September 25, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

JUMA NKAMIA AWATAKA VIONGOZI SIMBA, YANGA KUMALIZA MIGOGORO

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa akaunti maalum za wanachama wa Simba na Yanga...

BREAKING NEWZZ! MBWANA SAMATTA HATIHATI KUWAVAA ZIMBABWE JUMAPILI, ANASUMBULIWA NA MAJERUHI YA NYAMA ZA...

Mbwana Samatta siku alipoumia wakati TP Mazembe ikikabiliana na AS Vita mei 25 mwaka huu. Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania...

SIMBA, YANGA ZAINGIA MKATABA NA BENKI YA POSTA TANZANIA (TPB) KUHUSU KUFUNGUA AKAUNTI YA...

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kulia) akimkabidhi Rais wa Simba, Ismail Aden Rage mkataba wa makabaliano yao kuhusu...

WANACHAMA SIMBA SC OGOPENI `SIASA NYEPESI` MITHIRI YA UKOMA WAKATI HUU WA UCHAGUZI ,...

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam Tel:0712461976 WANACHAMA wa Simba sc kuna mambo mengi yanayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu wa klabu yenu utakaofanyika juni 29 mwaka huu,...

MADOGO WA U15 TANZANIA WASHIKA NAFASI YA PILI AYG

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Tanzania imeshika nafasi ya pili kwenye Michezo ya Afrika kwa Vijana (AYG) kwa upande wa mpira wa miguu kwa...

SAFI SANA NKAMIA, KUNA HAJA GANI YA KUJIITA `SIMBA` WAKATI UWEZO WAKO NI KAMA...

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam SERIKALI kupitia wizara ya habari, vijana, utamaduni na michezo inatarajia kuliagiza shirikisho la soka Tanzania kuachana na mpango wake...

KAMATI YA UCHAGUZI SIMBA SC IJIUZULU..

Na Baraka Mbolembole Neno ' Kujiuzulu' lina maana mbili. Ni kuacha, au kuachia, kazi, haki, madai, au mali. Ni kuacha kufanya jambo, kuachia au kuachana...

COASTAL U-20 KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA VIVA DYNAMO JUMAPILI WILAYANI MKINGA

Na Mwandishi Wetu, Tanga MABINGWA wa Kombe la Uhai ambalo hushirikisha wachezaji wanaotumikia vikosi vya pili kwenye timu zinazoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara,Coastal Union...

TP MAZEMBE YAWAACHIA SAMATA, ULIMWENGU KUIONGEZEA NGUVU STARS

Klabu ya TP Mazembe imewaruhusu wachezaji wake Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu kujiunga na timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo tayari imewasili Harare, Zimbabwe...

MAONI YA MDAU IBRAHIM MKAMBA JUU YA SAKATA LA KUENGULIWA MICHAEL WAMBURA.

"Michael Wambura ameenguliwa kwenye uchaguzi wa Simba kwa kuelezewa kwamba si mwanachama halali baada ya kusimamishwa uanachama mwaka 2010 kwa kuifikisha Simba mahakamani. Tukiwa...

STORY KUBWA