Tuesday, August 14, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

CASTLE LAGER PERFECT SIX YAPATA WAWAKILISHI WA KWANZA FAINALI ZA TAIFA

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Mashariki, Julius Nyaga kushoto akimkabidhi kombe nahodha wa timu ya Schalke 04 ya...

TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA KANALI MWANAKATWE

Rais wa TFF, Jamal Malinzi Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wake (wakati huo ikiitwa FAT),...

MWEGANE YEYA AAHIDI MAKUBWA TAIFA STARS, AMSHUKURU MUNGU KWA KUITWA NA MART NOOIJ

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MSHAMBULIAJI hatari wa Mbeya City fc, Mwegane Yeya amefurahishwa na kitendo cha kuitwa katika kikosi cha timu ya taifa...

PANONE FC YAPOKELEWA KISHUJAA MKOANI KILIMANJARO

Msafara wa magari ukiongozwa na mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro, Goodluck Mushi wakipita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi mara...

JULIAS KISARAWE KUVURUMISHIANA MAKONDE DHIDI YA MORO BEST JUN 7

Bondia Julias kisarawe kesho anategemea kupanda ulingoni kuzipiga na Hassan kiwale "Morobest"  katika ukumbi wa Friends Corner Manzese jijini Dar es salaa. Pambano hilo...

SHUJAA GEBO PETER KUZIKWA KESHO, TFF YAMLILIA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mchezaji wa zamani wa timu ya Simba na Taifa Stars, Gebo Peter...

TFF: HATUJAFUTA MATUMIZI YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea taarifa za kutolewa wito bungeni wa kulitaka litumie tiketi za elektroniki...

TAIFA STARS YA MART NOOIJ KUINGIA KAMBINI JUNI 11

Na Boniface Wambura, TFF Kikosi cha Taifa Stars kinaingia tena kambini Jumatano (Juni 11 mwaka huu) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mechi ya raundi...

Mkataba mnono wa Milioni 360 za Binslum Kuinogesha Mbeya City

Kampuni ya Bin Slum Tyre Company Limited leo imeingia mkataba rasmi wa kuidhamini timu ya soka ya Mbeya City Council ya jijini Mbeya katika...

KAMPUNI YA BINSLUM TYRES LTD KUIDHAMINI MBEYA CITY KWA MILIONI 360.

Hotuba ya Mkurugenzi wa Binslum Tyre Company Ltd, Ndugu Mohamed Binslum siku ya utiaji sahihi mkataba wa udhamini wa Timu ya Mpira wa Miguu...

STORY KUBWA