Thursday, September 20, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

YANGA YAZUA MAKUBWA KOMBE LA KAGAME, WASEMA HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU MICHUANO HIYO

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam YANGA SC wataanza kampeni ya kusaka taji la kombe la Kagame Agosti 8 mwaka huu dhidi ya wenyeji Rayon...

WANAKABUNGU TAIFA STARS WATAMBA KUWAKALISHA `BLACK MAMBAS `KWAO

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WANANDINGA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wana matumaini ya kuwafunga Msumbiji (Black Mambas) katika mechi ya...

VIONGOZI, WACHEZAJI, MASHABIKI SIMBA SC, SASA MUELEWENI LOGA…

Kocha mkuu wa klabu ya Simba, Mcroatia, Zdravko Logarusic (kushoto) Na Baraka Mbolembole, Dar es salaam KILA kitu kinakwenda vizuri, zile tetesi zote zilizokuwa zimetanda...

KABUMBU KAMA UNALIJUA, UNALIJUA TU, MBELEKO UTAISAHAU!

Vijana wa Coastal Union  walitwaa ubingwa wa kombe la Uhai Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 KANUNI ya kuwa mchezaji bora wa mpira wa miguu ni...

TFF HII TABIA YA KUONGEZA MUDA WA USAJILI NA KUPIGA KALENDA LIGI KUU ITAISHA...

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) jana limetangaza kuongeza muda wa usajili kwa wiki mbili ili kuzipa klabu...

LOGA BAKI KWENYE MSINGI WAKO HUU, UTAISAIDIA SIMBA SC NA SOKA LA TANZANIA

Hapa ilikuwa baada ya kushinda mechi ya Nani Mtani Jembe desemba mwaka jana ambapo Simba waliitandika Yanga mabao 3-1 Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 UONGOZI wa...

TOFAUTI YA MTIBWA SUGAR  NA FC PORTO’

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam,  Mtibwa Sugar ni moja kati ya timu tano zilizowahi kutwaa ubingwa wa kandanda wa Tanzania Bara ambazo zitashiriki katika...

KHAMIS KIIZA ‘DIEGO’ APIGWA CHINI YANGA SC, OKWI KUENDELEA KUWIKA!

KLABU ya Yanga imembwaga mshambuliaji wake Mganda, Khamis Kiiza ‘Diego wa Kampala’ baada ya kusajiliwa kwa Wabrazil wawili, Andrey Coutinho na Geilson Santos Santana...

VODACOM WADHAMINI ZIARA YA MAGWIJI WA REAL MADRID NCHINI

Kuanzia kushoto, Luis Figo, Zinedine Zidane na Ronaldo de Lima enzi hizo wakicheza Real Madrid Na Baraka Mpenja, Dar es salaam VODACOMA Tanzania ni miongoni mwa...

MUDA WA USAJILI WAONGEZWA KWA WIKI MBILI

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeongeza muda wa usajili kwa wiki mbili ili kuzipa klabu nafasi ya kukamilisha taratibu zinazotakiwa. Hivyo hatua...

STORY KUBWA