Thursday, June 21, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

SAMATA, ULIMWENGU WATUA, MWINYI KAZIMOTO KUINGIA DAR KESHO

Washambuliaji Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wamewasili nchini leo asubuhi (Julai 16 mwaka huu) kutoka Tunisia kujiunga na Taifa Stars kwa ajili ya mechi...

RAIS WA TFF AANDAA FUTARI KWA WADAU

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameandaa futari kesho (Julai 17 mwaka huu) kwa...

DRAVKO LOGARUSIC WA SIMBA SC NA MARCIO MAXIMO WA YANGA SC WANAFANANA KWA HILI…..

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 KOCHA wa Simba sc, Mcroatia, Dravko Logarusic ameanza kazi kukinoa kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya...

MBWANA SAMATTA NA THOMAS ULIMWENGU WATUA DAR KUWAVAA `BLACK MAMBAS`

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WASHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania wanaocheza klabu ya TP Mazembe ya Congo, Mbwana Ally Samatta na Thomas Emmanuel Ulimwengu...

RAIS KIKWETE AKABIDHI BENDERA TIMU YA TAIFA YA RIADHA ITAYOSHIRIKI MICHUANO YA JUMUIYA YA...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi bendera nahodha wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya...

RASMI! JAJA KUTOKA BRAZIL AWASILI YANGA SC, KUANZA KUPIGA KAZI KESHO

Geilson Santos Santana Mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Brazil Geilson Santos Santana "Jaja" amewasili leo mchana jijini Dar es salaam akitokea jijini Sao Paul tayari...

DROGBA KURUDI CHELSEA, HAIWEZEKANI KWA MUSA HASSAN MGOSI KURUDI SIMBA SC?

  Na Baraka Mbolembole Kocha wa klabu ya Chelsea ya England, Jose Mourinho tayari amewanasa wachezaji wawili wa timu ya Taifa ya Hispania, mshambulizi Diego Costa...

MARCIO MAXIMO ANAVYOITENGENEZA YANGA SC KWA KUTUMIA WABRAZIL

 Na Baraka Mbolembole Usajili wa kiungo wa kushoto, Andre Coutinho katika klabu ya Yanga umepokelewa kwa mikono miwili. Katika usajili huo kila upande una malengo...

WAAMUZI MECHI YA SERENGETI BOYS WATUA

Waamuzi wa mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 kati ya Tanzania...

FIFA KUWAPIGA MSASA WAAMUZI 30 DAR, MKUFUNZI ATOKA BONDENI

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Semina na mtihani wa utimamu wa mwili (physical fitness test) kwa waamuzi wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa...

STORY KUBWA