Monday, May 28, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

MNYAMA SIMBA KUKIPIGA NA ISMAILIA AU ZESCO SIKU YA `SIMBA DAY`

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WEKUNDU wa Msimbazi Simba wanatarajia kukipiga na Ismailia ya Misri au Zesco ya Zambia katika tamasha la klabu hiyo...

TETESI: ZDRAVKO LOGARUSIC KUTIMULIWA SIMBA SC, NAFASI YAKE KUTUA KWA BOBBY WILLIAMSON

TAARIFA za chini ya kapeti ambazo mtandao huu umezipa kutoka chanzo cha uhakika, uongozi wa klabu ya Simba chini ya rais, Evans Aveva umedhamiria...

TAIFA STARS INAWEZA KUWATUNGUA BLACK MAMBAS TAIFA…

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 WASWAHILI wana msemo maarufu usemao`Utavuna ulichopanda`. Kama ulipanda kokoto utavuna kokoto, usitarajie kuvuna mahindi. Kwa muda mrefu sasa, timu ya...

SERENGETI BOYS YASHINDWA KUCHOMOKA MBELE YA AMAJIMBOS, YATOKA 0-0 CHAMAZI

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys  imelazimisha suluhu pacha ya bila kufungana...

SEMINA ELEKEZI AIRTEL RISING STARS KUFANYIKA DAR

Semina elekezi ya michuano ya Airtel Rising Stars kwa mikoa sita inafanyika kesho (Julai 19 mwaka huu) saa 4 asubuhi kwenye ukumbi wa mikutano...

KIINGILIO MECHI YA STARS, MSUMBIJI 7,000/- VITI MAALUM (VIP) 30,000/-

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Viingilio kwa mechi ya Taifa Stars na Msumbiji itakayochezwa keshokutwa (Jumapili) Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ni...

JAMAL MALINZI MKAZI WA MASAKI ADUI MKUU WA WAKAZI WA MANZESE

          Hakuna kitu kibaya kama kutembea na mtu aliyeshiba wakati wewe una njaa. Shibe yake huwa inampa hisia kuwa na...

HII NDIO KAULI YA `MAJEMBE` YA TAIFA STARS KUELEKEA MECHI DHIDI YA `BLACK MAMBAS`

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam TAIFA Stars chini ya kocha, Mholanzi, Mart Nooij, inakabiliwa na mechi muhimu dhidi ya Msumbiji `Black Mambas` , kuwania...

WINDO LA MBEYA CITY FC KUELEKEA LIGI KUU NI `MOTO WA KUOTEA MBALI`

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WAGONGA nyundo wa Mbeya, Mbeya City fc wapo katika mkakati mzito wa kurejea na nguvu mpya kwenye michuano ya...

`BIG BOSI` AZAM FC AWATEMBELEA FRANK DOMAYO NA JOSEPH KIMWAGA

Viongozi wa klabu ya Azam Fc Mwenye Kiti Saidi Muhamed, Katibu Mkuu Nassoro Idrisa pamoja na Meneje Jemedali Saidi walipo watembelea Majeruhi Joseph Kimwaga...

STORY KUBWA