Saturday, September 22, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

NYAMLANI MGENI RASMI UFUNGUZI WA DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP KESHO!

Jumanne Athuman Nyamlani (kushoto) akiongea na waandishi wa habari kwenye moja ya mikutano yake siku za nyuma MICHUANO ya Dr Mwaka SPORTS XTRA NDONDO CUP...

PATRICK PHIRI LAZIMA AUMIZE KICHWA KUICHAPA POLISI MORO

Kocha mkuu wa Simba sc, Patrick Phiri (kulia) akiwaelekeza jambo wachezaji wake Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 SIMBA SC inajiandaa kuchuana na Polisi Morogoro katika...

YANGA YA MAXIMO INA ASILIMIA 70  KUICHAPA PRISONS TAIFA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 YANGA SC wanaikaribisha Tanzania Prisons jumapili (septemba 28 mwaka huu) katika mechi ya raundi ya pili ya ligi kuu...

“TUMEPOTEZA MECHI YA KWANZA, HATUTAKI KUPOTEZA YA PILI”-MURAGE KABANGE

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KAGERA SUGAR imejificha jijini Dar es salaam kujiwinda na mechi ya raundi ya pili ya ligi kuu soka Tanzania...

PHIRI: OKWI TAMBWE WATOSHA KUIUA YANGA

Amissi Tambwe (kulia) ni moja ya washambuliaji hatari wa Simba sc Na Bertha Lumala, Dar es Salaam KOCHA Patrick Phiri wa Simba amewataka mashabiki wa klabu...

MKATABA WA MOSOTI, SIMBA UMEVUNJWA – FIFA  

Mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Mrisho Ngassa (17), akimpiga chenga aliyekuwa beki wa  Simba, Mkenya, Donald Mtosi wakati mchezo wao wa Nani Mtani Jembe...

IVO MAPUNDA ‘OUT’ MECHI YA WATANI WA JADI!

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam HABARI mbaya kwa mashabiki wa Simba sc ni kwamba kipa namba moja wa klabu hiyo, Ivo Philip Mapunda amepata...

MICHUANO YA Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA

Viongozi na wawakilishi wa timu shiriki za Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup wakizionesha jezi watakazozitumia katika michano hiy, inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi keshokutwa Ijumaa...

MKALI WA NYIMBO ZA INJILI ATOA  YA MOYONI KWA VIONGOZI WA SIMBA,YANGA NA TFF

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Ambwene Mwasongwe Mwamlenga (wa kwanza kutoka kushoto, mstari wa kwanza chini) akiwa na mwandishi wa Mtandao huu Allen Kaijage...

      DHAMBI YA GUARDIOLA DARASA KWA SOKA LA BONGO

Kocha mkuu wa Barcelona na sasa Bayern Munich, Pep Guardiola           Miaka ya 1950 alikuwepo dereva mmoja mmarekani aitwaye Blake. Blake alikuwa...

STORY KUBWA