Thursday, February 22, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

KHAMIS KIIZA ‘DIEGO’ APIGWA CHINI YANGA SC, OKWI KUENDELEA KUWIKA!

KLABU ya Yanga imembwaga mshambuliaji wake Mganda, Khamis Kiiza ‘Diego wa Kampala’ baada ya kusajiliwa kwa Wabrazil wawili, Andrey Coutinho na Geilson Santos Santana...

VODACOM WADHAMINI ZIARA YA MAGWIJI WA REAL MADRID NCHINI

Kuanzia kushoto, Luis Figo, Zinedine Zidane na Ronaldo de Lima enzi hizo wakicheza Real Madrid Na Baraka Mpenja, Dar es salaam VODACOMA Tanzania ni miongoni mwa...

MUDA WA USAJILI WAONGEZWA KWA WIKI MBILI

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeongeza muda wa usajili kwa wiki mbili ili kuzipa klabu nafasi ya kukamilisha taratibu zinazotakiwa. Hivyo hatua...

TAIFA STARS KUJICHIMBIA MBEYA, MECHI NA MAMBAS YAINGIZA MILIONI 158

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Kikosi cha Taifa Stars kinatarajia kuondoka keshokutwa (Julai 24 mwaka huu) kwenda Mbeya ambapo kitapiga kambi ya wiki moja...

LOGA AANGUKA MKATABA WA MWAKA MMOJA SIMBA SC, ATAMBA KUTWAA TAJI LIGI KUU

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KAMA ilivyotegemewa na kushauriwa na watu wengi, uongozi wa klabu ya Simba chini ya rais Evans Aveva umemsainisha mkataba...

JICHO LANGU LA TATU:  KELVIN YONDANI ARUDISHWE BENCHI, NANI PACHA WA CANNAVARO?  

Na Baraka Mbolembole, Dar es salaam Safu ya ulinzi ya Taifa Stars ilifanya makosa yasiyo ya lazima na wakajikuta wakiruhusu mabao nane katika michezo mitatu...

MARCIO MAXIMO MAJARIBUNI KOMBE LA KAGAME 2014, CECAFA YAANIKA MUZIKI WA YANGA SC

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KUMEKUCHA! Ndivyo unaweza kusema!. Baraza la vyama vya soka kwa ukanda wa Afrika mashariki na kati, CECAFA limetoa ratiba...

RATIBA NZIMA KOMBE LA KAGAME MJINI KIGALI RWANDA HII HAPA…

CECAFA KAGAME CUP 2014 9TH – 25TH AUGUST 2014 – RWANDA FIXTURE   GROUP A                                             GROUP B                                                             GROUP C RAYON FC (RWA)                             APR (RWA)                                                         VITAL ‘O’ (BRD) YOUNG AFRICANS...

TFF YAITAKA AIRTEL KUIDHAMINI U-20

Meneja Matuko wa Airtel Tanzania Rebeca Mauma akizunguma wakati wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars iliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...

MWAMBUSI AJIANDAA KUCHEZA `FAINALI 26` LIGI KUU BARA

Na Baraka Mpenja, Dar es saalam MSIMU uliopita wa ligi kuu soka Tanzania bara, Juma Mwambusi wa Mbeya City fc alichaguliwa kuwa kocha bora wa...

STORY KUBWA