Saturday, September 22, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

KPAH SEAN SHERMAN AFAULU VIPIMO VYA AFYA YANGA…..

Mshambuliaji mpya wa Yanga raia wa Liberia Kpah Sean Sherman amefaulu vipimo vya afya,vipimo hivyo vilisimamiwa Dr Gilbert Kigadye pamoja na Dr Sufiani.

BAADA YA KUVUNJA MWIKO MTIBWA, AZAM FC WAPAA UGANDA

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam BAADA ya kuifumua 3-1 Mtibwa Sugar, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Azam FC wanatarajiwa...

MLIBERIA WA YANGA SC ATUA DAR KUMWAGA WINO JANGWANI

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam MSHAMBULIAJI wa kimataifa Kpah Seen Sherman kutoka Liberia ametua nchini tayari kujiunga na Yanga. Sherman amewasili kwenye Uwanja wa Ndege...

UNAITAZAMA VIPI SAFU HII YA MASHAMBULIZI, NGASSA, MRWANDA, MSUVA?

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Hatimaye kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC, Mbrazil, Marcio Maximo amempata mshambulizi ambaye anaweza kubeba majukumu yaliyoachwa wazi...

HANSPOPE: BEKI MKENYA DAVID OWINO ANATUA SIMBA

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam Klabu ya Simba imethibitisha ujio wa beki David Owino wa Gor Mahia katika klabu hiyo ya Msimbazi. Katibu Mkuu wa...

STARS MABORESHO MDEBWEDO KWA BURUNDI

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam Baada ya kuharibu pilau la miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Taifa Stars Maboresho imeharibu tena pilau...

ALLI KIBA AWATAJA WASANII AMBAO AMEWA INSPIRE KATIKA MUSIC

Star huyo wa music wa kizazi kipya pia ni footballer Alli Kiba awataja wasanii wa kibongo alio wa inspire katika music huu wa kizazi...

TFF YASITA KUZIRUHUSU SIMBA, YANGA KUSHIRIKI KOMBE LA MAPINDUZI

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam WAKATI timu nne za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Azam FC, Mtibwa Sugar, Simba na Yanga zimealikwa...

MTIBWA TUKO TUTASHIRIKI KOMBE LA MAPINDUZI’

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam WAKATI timu nne za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Azam FC, Mtibwa Sugar, Simba na Yanga zimealikwa...

AZAM FC KUJIPIMA NA MTIBWA KESHO USIKU KABLA YA KUPAA UGANDA

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam Kikosi cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzanika Bara (VPL), Azam FC kesho Jumanne usiku kitashuka Uwanja...

STORY KUBWA