Thursday, February 22, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

YANGA YAITANDIKA JKT RUVU MABAO 2-1,

Kikosi cha timu ya Young Africans chini ya kocha mbrazil Marcio Maximo leo kimeendeleza wimbi la ushindi katika michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom...

Yanga walivyoichinja JKT Ruvu leo uwanja wa Taifa

Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo. Jaja akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa JKT Ruvu. Jaja akichuana na beki wa JKT RUVU, Madenge Ramadhani. Jaja akichuana na...

OKWI,MOSSOTI NA KALAMU YA FRIEDRICH VON WIESER

Adam Smith ndie gwiji la maswala ya uchumi kuwai kutokea...

MESSI AKUTWA NA KESI YA KUKWEPA KODI

Nyota wa Barcelona Lionel Messi anakabiliwa na kesi ya kukwepa kodi,majaji nchini Hispania wamethibitisha tuhuma hizo. Ikumbukwe Messi alikuwa akikabiliwa na tuhuma za ukwepaji...

AMISI TAMBWE KAMILI GADO KUIVAA STAND UNITED,

Mshambuliaji wa kutumainiwa wa Timu ya Simba Hamisi Tambwe leo hasubuhi amefanya mazoezi kwa asilimia 100 na kuondoa uvumi uliokua umemuhusisha kukosa mechi ya...

KILIMANJARO PREMIUM LAGER NANI MTANI JEMBE AWAMU YA PILI YAZINDULIWA RASMI.

Dar es Salaam: Awamu ya pili ya kampeni ya Nani Mtani Jembe imezinduliwa leo kwa waandishi wa habari na itazinduliwa kwa wadau wa Simba...

DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP YAZIDI KUNOGA

Watu mbalimbali maarufu na wachezaji wenye majina makubwa katika soka wamezidi kujitokeza kwenye mashindano ya Dr. Mwaka Sports Xtra Ndondo Cup na kuonesha uwezo...

MBEYA CITY YAINGIA MKATABA NA COCACOLA…….

Klabu ya Mbeya city Council football Club leo 1/10/2014 imeingia katika makubaliano na kampuni ya Cocacola Kwanza ya udhamini wa vinywaji baridi(Official Soft Drink...

BODI YA LIGI HAITAMBULIKI KISHERIA,NI KAMA KAMATI NYINGINE YOYOTE YA TFF-JAMAL MALINZI

Vyombo kadhaa vya habari vimeripoti kuhusu hali ya mgongano kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na Bodi ya ligi Tanzania (Tanzania Premier league...

SIFA UTD YA MANZESE YAIFUNGA MILAMBO YA MBURAHATI MABAO 2-1,

Mashindano ya Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup yameendelea jana kama kawaida kwa michezo mitatu kupigwa, ambapo michezo hiyo ni mchezo wa Sifa United...

STORY KUBWA