Thursday, February 22, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

AZAM FC IMELAMBA DUME KWA MU- IVORY COAST, SERGE PASCHAL WAWA,

Alicheza michezo minne akiwa na kikosi cha Ivory Coast katika michuano ya Olimpiki, Beijing, China, 2008. Serge Paschal Wawa mlinzi wa zamani wa Asec...

SAIMON MSUVA ANAPOGONGANISHA VICHWA VYA YANGA, AANZE KIKOSI CHA KWANZA KATIKA MFUMO GANI?

Saimon Msuva alitokea benchi na kuifungia timu yake mabao mawili katika mchezo wa ligi kuu tanzania bara kati ya yanga sc na jkt mgambo....

AZAM FC IKUBALI KUWATOA KAFARA BAADHI YA WATU ILI ISONGE MBELE, KALLY AMEFUKUZWA KWA...

Kally Ongalla alifukuzwa kazi wiki iliyopita katika klabu ya Azam FC. Taarifa ambazo zilitolewa kuwa kocha huyo anakwenda kujiendelea kimafunzo si za kweli...

SIMBA YAVUNJA MWIKO KWA KUWAFUNGA WALIYOIROGA TAIFA

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam BAADA ya kukaa miezi nane bila kupata ushindi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Simba imezinduka na...

SIMBA YAPATA USHINDI WA KWANZA VPL

BAO pekee la Mganda, Emmanuel Okwi limeipa Simba SC ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kuilaza Ruvu Shooting 1-0...

HEEE KAGERA SUGAR WASAWAZISHA ASUBUHI MANUNGU

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam VINARA wa msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Mtibwa Sugar wamepoteza uongozi wao wa goli 1-0...

YANGA, AZAM KICHEKO, MBEYA CITY MAJANGA

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) imeendelea kwa mechi tano za raundi ya saba Yanga wakiibuka na ushindi...

STAND UNITED YAONA MWEZI YAIGONGA 1-0 MBEYA CITY DIMBA LA CCM KAMBARAGE.

Kwa mara ya kwanza ikicheza nyumbani Stand United hii leo imeonja utamu wa ligi kuu soka Tanzania bara mara baada ya kupata ushindi wake...

KIPRE TCHETCHE ARUDI DIMBANI NA KUIPA AZAM FC USHINDI

Katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi, wenyeji Azam FC walimaliza mwendo mbaya wa vipigo baada ya kuchomoza na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya...

VPL ROUNDUPS; Maximo, Omog, Mwambusi wanaingia raundi ya saba ya ‘mashaka’

Na Baraka Mbolembole, Viwanja vitano vitawaka moto jioni ya leo katika mfululizo wa michezo ya ligi kuu ya kandanda Tanzania Bara msimu wa 2014/15. Mzunguko...

STORY KUBWA