Thursday, September 20, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

TFF’ maji ya betri yanafanana na maji lakini hayakati kiu

Mimi: babu ameniuliza leo shida ya ligi kuu hasa ni nini mbona kama timu zipo nyingi na lile neno vodacom halionekani (Babu yupo Rombo yeye...

Fei Toto kawakata maini wanaoibeza Yanga

Na Tima Sikilo KIUNGO mpya wa Yanga, Feisal Salum 'Fei Toto', ameweka wazi kwamba kikosi chao kitaendeleza wimbi la ushindi kwenye mchezo wao ujao mbele...

Kocha Mbeya City abwaga zigo kwa waamuzi

Na Tima Sikilo KOCHA mkuu wa timu ya Mbeya City, Ramadhan Nsanzurwimo amewatupia lawama waamuzi wa ligi kuu kwa kuwaambia wanatakiwa kusimamia haki na siyo...

Singida waipigia hesabu Mwadui

Na Tima Sikilo KOCHA wa Singida Unite Hemed Morocco, amesema kikosi chao kitawavaa Mwadui huku wakiwakosa wachezaji wao wawili Jamal Mwambeleko na Kennedy Juma walio...

Edigar Kibwana na Geof Lea wamvulia kofia Makambo

Heritier Makambo, Heritier Makambo hili ndilo jina lililokamata sana vichwa vya habari baada ya Yanga kuichapa Mtibwa Sugar kwa mabao 2-1. Makambo amekuja Yanga akitokea...

“Ajib ana dhahabu miguuni mwake ila hajui”-Zahera Mwinyi

Na Tima Sikilo KOCHA Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera 'Papaa', amesema Ibrahim Ajibu ni mchezaji mwenye dhahabu miguuni mwake lakini bado hajalijua hilo. Papaa amesema ameamua...

Nani atamnunulia Kelvin “Mbappe” John tiketi ya Kwenda Manchester

Kevin John, hili jina limebadilisha hali ya hewa uwanja wa taifa. Mabao 6 michezo 3. Inaonekana yupo siriazi na kazi. Sijabahatika kuonana nae lakini nikiri...

Mbwana Samatta apiga hattrick yake ya kwanza Ulaya

Historia imeandikwa siku ya leo baada ya mshambuliaji kutoka nchini Tanzania Mbwana Ally Samatta kufunga hattrick yake ya kwanza katika michuano ya soka barani...

Mwinyi Kazimoto aondoka rasmi Simba Sc, Manara ataja sababu ya kuondoka kwake

Hatimaye kiungo wa Simba Mwinyi Hassan Kazimoto amethibitisha rasmi kuacha kuitumikia klabu hiyo bingwa nchini Tanzania. Mwanzoni kulikuwa na minong'ono ya hapa na pale kuhusu...

Wawa katoboa siri Simba

Na Tima Sikilo BEKI wa Simba Pascal Wawa, amesema siri ya kuongezeka kwa kiwango chake ni mazoezi anayoyafanya kila siku bila kujali changamoto anazo kutana...

STORY KUBWA