Wednesday, September 19, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

Ushindi mwingine wa Serengeti Boys kimataifa

Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' imepata ushindi wa tatu mfululizo tangu iondoke nchini kwenda kuweka kambi...

Hivi ndivyo ushirikina ulivyotawala Yanga vs Toto Africans

Bado soka letu limefunikwa na wingu la kishirikina kuliko maandalizi na kucheza kwa mbinu za kuwapatia ushindi uwanjani. Leo baada ya mchezo wa ligi...

Video: Ulimwengu amejibu kuhusu kutaka kujiunga Yanga na malengo yake Sweden

Mshambuliaji wa AFC Eskilstuna ya Sweden na Taifa Stars amesema, Sweden kama sokoni kuelekea kucheza soka kwenye ligi kubwa kama yalivyo malengo yake. Ulimwengu amesema...

Imetajwa sababu iliyomkimbiza Chirwa Yanga

Baada ya kuenea taarifa kwamba mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa ameikimbia klabu hiyo na kurejea nyumbani kwao Zambia akishinikiza kulipwa fedha zake anazodai, uongozi...

Shaffih Dauda: Kikosi changu bora cha Simba na Azam 

Kuelekea pambano la nusu fainali kati ya Simba na Azam, mchambuzi mkongwe wa masuala ya soka Tanzania Shaffih Dauda ametaja kikosi chake bora. Shaffih ametaja...

Mambo 6 yaliyo bamba fainali ya ASFC uwanja wa Jamhuri Dodoma

Fainali ya kombe la Azam Sports Federation Cup kati ya Simba dhidi ya Mbao ilikuwa ni ya kiwango cha juu na ilistahili kuitwa fainali...

Simba yasusa zawadi VPL

Klabu ya Simba imegoma kuchukua zawadi ya mshindi wa pili mara baada ya mchezo wake wa mwisho wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya...

Wachezaji 10 kupigwa chini Simba

KLABU ya Simba imepanga kuwabakiza wachezaji 15 pekee kati ya 25 iliowasajili msimu uliopita kwa ajili ya Ligi Kuu Tanzania bara na Kombe la...

Cannavaro amemtaja mchezaji aliyewahi kumyima usingizi kwenye mechi zote za Simba vs Yanga

Wakati zikiwa zimesalia saa chache upigwe mchezo wa Simba vs Yanga ambao unasubiriwa na maelfu ya wapenda soka kwenye pembe mbalimbali za ulimwengu, shaffihdauda.co.tz...

‘Najituma kwenye soka nipate pesa za kumtunza mdogo wangu’ – Kabunda

Na Zainabu Rajabu MOJA ya sababu inayomfanya kiungo wa Mwadui FC ya Shinyanga Hassan Kabunda kucheza soka kwa kujituma ni kutafuta pesa kwa ajili ya...

STORY KUBWA