Tuesday, September 25, 2018

Kitaifa

Home Kitaifa

Kocha wa Yanga kwenda kwao Congo baada ya kuivaa Rayon

Na Tima Sikilo KOCHA mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera 'Papaa', anatarajia kuelekea nchini kwao Septemba 2 kwa ajili ya kuungana na timu ya Taifa ya...

Maombi yangu kwa CAF, CECAFA na TFF

Nilitazama michezo yote miwili ya mshindi wa 3 na ule wa fainali. Nilichogundua kila kocha aliisifia Serengeti boys.Kocha wa Uganda alikiri waziwazi kuwa kikosi...

Rais wa CAF alivyotumia jukwaa la Ndondo Cup Awards kukabidhi kijiti cha AFCON

Kati ya matukio makubwa na ya kihistoria yaliyotokea usiku wa Ndondo Cup Awards 2018 ni Rais wa chama cha soka Afrika Caf Ahmad Ahmad...

Makala, “Safari ya Ndondo Cup 2018 hadi hatma yake hapo jana”

Usiku wa jana pazia la michuano ya Ndondo Cup 2018 ilifungwa mjengoni Clouds Tv kwa washindi wa michuano hiyo kupewa tuzo zao ambapo tuzo...

Washindi wa tuzo za Ndondo Cup 2018 katoka picha

Usiku wa jana kulikuwa na tukio kubwa sana pale Clouds Tv Mikocheni baada ya washindi wa michuano ya Ndondo Cup 2018 kukabidhiwa tuzo zao. Tuzo...

Tuzo za heshima Ndondo Cup 2018

Kwa kutambua mchango wa wadau mbali mbali katika michuano ya Ndondo Cup 2018, usiku wa jana kulitolewa tuzo za heshima kwa baadhi ya wadau. 1.Wallace...

Picha, wageni kutoka La Liga, Caf, Afrika Kusini, wasanii katika usiku wa Ndondo Cup...

Usiku wa jana ulikuwa kati ya siku za kukumbukwa sana kuhusu Ndondo Cup 2018, baadhi ya matukio ya picha za jana hizi hapa.

Serengeti Boys yafanya kweli mshindi wa tatu “U-17 CECAFA”

Hatimaye timu ya taifa ya vijana ya umri wa miaka 17 imeshinda nafasi ya 3 kwa kuwafunga Rwanda kwa mikwaju ya penati. Hata hivyo...

Kelvin John ‘Mbappe’ kazitosa Simba, Yanga malengo yake ‘yakiutu-uzima’

Kelvin John 'Mbappe' amekuwa gumzo sana kwenye timu ya taifa ya vijana wa U17 Serengeti Boys mshambuliaji anaevaa jezi namba 10. Inawezekana umemuona lakini hufahamu...

Mgomo mwingine Yanga

Na Tima Sikilo NYOTA watano watimu ya Yanga wapo kwenye hati-hati ya kuukosa mchezo wao wa marudiano dhidi ya Rayon Sport ya Rwanda unaotarajiwa kuchezwa...

STORY KUBWA